Recent content by jezifar

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mumewe ana maumbile makubwa, mkewe anaumia wakati wa tendo la ndoa

    mwambie bro wako atafute dem wa kizungu aowe hao na pipe kubwa ndio wanazijulia
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikipata goli moja tu nachoka, tatizo mpenzi wangu

    Unajua Squirting? Au gushing?
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe ungefanyaje?

    Nasura imetokea maana tulikuwa tunachati na skyper..kumbe yeye anarecord
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe ungefanyaje?

    Evelyn unamaanisha nini?
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe ungefanyaje?

    Unajua aliingia kwenye facebook na kutafuta watu wote wenye ubini kama wangu aakanitumia na kuniambia anawatumia hii video hao wote pamoja na friends wangu wengine kwenye facebook. Ndugu zangj mimi sio kilaza na nimjanja sana kimaisha ila hii nikiboko imenipafundisho kubwa sana la hizi social...
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe ungefanyaje?

    Nilikutana na msichana mmoja wa kiarabu hivi kutoka Tunisia akasema anaishi dubai kwenye mtandao na mimi siishi bongo. Naishi bara la Asia. Tukawa tunachati sana na na ikaonesha kama yupo interested na mimi na mimi nikawa interested sababu kiukweli alikuwa mzuri. Sasa mda wa kuchati akawa...
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na vitambi

    Tatizo hawafanyi mazoezi full stop. Watz hatina destuli ya kufanya mazoezi kila siku
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani wanaume wasomi mna nini?

    Huyo elimu yake haijamsaidia...maana kuna kusoma na kuelimika...nadhanj hajaelimika.....ndo maana mda wote anajisikia na hiyo pHd...kikubwa pesa PHd kitu gani....by the way nina master tena ya abroad na undergraduate ya abroad
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    Kama unataka s2 nambie nakuja bongo next month...from korea
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Don't be that girl wasting her life on the couch infront of a tv every night! Die trying!

    Wewe lala upo korea au umeshaishi korea maana hiyosalamu ni ya kikorea
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili jambo linanituma kabisa kabisa kulikimbia jiji

    Sio zeruzeru...kwenu au kwa mkeo hakuna albino?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    I know one guy yeye anatengeneza mashine zakuprosses sabuni from beginning to tbe end. Anauza $17,000 kwa machine moja
  13. J

    JamiiForums Tanzania ushauri wenu jamani nasumbuliwa na tumbo

    Hebu google kitu kinaitwa reflux esophagitis What are the symptoms of esophagitis? Symptoms of esophagitis include: Difficult and/or painful swallowing A feeling of food getting stuck on the way down Heartburn, acid reflux Unpleasant taste in mouth Sore throat, hoarseness, or cough Mouth...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta galax s3 au sII

    Mimi ninayo mpya na used nicheki kwenye watsap +82 10 2642- 4879. Nitakuwa Tanzania next week
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wadada walio single

    Eiyer hiyo ni fact...umesema ukweli mtupu.
Back
Top Bottom