Kila mtu hukomboka pale anapokomboka kifrikra. Hakuna mtu yupo kwa ajili ya kumtetea yeyote, kila mmoja yupo kwa maslahi yake mwenyewe. Siku ukilijua hili utaacha kushabikia watu na kuanza kujipambania mwenyewe. Hakuna mtu yupo kwa ajili ya maslahi yako
Kuna jamaa tuliwahi kubishana nilimuuliza, unaamini kwamba sisi ngozi nyeusi ni useless duniani ukilinganisha na ngozi nyeupe? Akasema hapana, ninadamu wote ni sawa.
Nikamuuliza, unadhani haya madini tunayosema wazungu wanatuibia siku ikitokea wakasema hawayataki tena tubaki nayo sisi...
Kama ni kweli amemkabidhi kwa polisi kwa kwababu alimtongoza, basi sio leo wala sio kesho ila ipo siku atalikumbuka hili kama jambo la kijinga alilowahi kulifanya
Kwa reply hii nimethibitishabkua uzi wako ni chai, ila kuna funzo ndani yake.
Mimi ningemuacha amalize kisha palepale mbele ya umma ningemwadhibu kwa viboko vikali sana
Mkuu punguza stress na gubu. Nilichoandika ni;
“Hayo ndio mambo anayoyapenda”
Nani? Lisu.
Mambo gani? Kuwa na kesi ya kujibu, maana yake anapenda kujibu kesi, alisha zijibu nyingi na akashinda.
“Wanapoteza muda”
Akina nani? Waliomshtaki.
Vijana mkiwaga na mihemko mnakurupuka tu bila kusoma na...
Mwanamke mwenye mataco ni macho juujuu sana. Mwanaume anaetaka kufanikiwa huhitaji utulivu, hio mara mkewe kuna kajama kanamfukuzia inaondoa uwepo wa utulivu, ndio wengi wenye malengo huona mambo yasiwe mengi beba namba moja weka ndani, mataco atakua ananunua no stress
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.