Recent content by jesse alibalio

 1. jesse alibalio

  Kagera: Kilichonifurahisha jana ni wagombea 3 wa CCM kujiuzulu asubuhi

  Hiyo imekaa poa sana.Natamani Oktoba 2015 ifike kesho.
 2. jesse alibalio

  Elections 2015 Apson awatumia kina Bashe kuwachafua Membe na Jack Gotham

  Ni kawaida MCHAWI akikaribia kukata roho,uwataja wachawi wenzie na watu aliowaua.Naona shughuli ya 'RIP' inaanza sasa
 3. jesse alibalio

  Andrew Chenge: Toka Ufisadi hadi Uandishi wa Katiba ya nchi

  Huyu Chenge mambo yake chenga tupu
 4. jesse alibalio

  Kanusha kwamba CCM si wezi

  Sio wezi, wanaanda tuu wadanganyika kujitambua, mkitaka kujua ni wezi wachagueni tena 2015. Sio wezi jamani,hawa ni majambazi sugu ati.2015 mkiwarudisha msishangae wataanza kuvamia/kuvunja nyumba zetu maana hawana cha kuiba tena sababu serikali inafilisika
 5. jesse alibalio

  Kwa kashfa hizi, CCM haifai kuongoza tena

  Kuanzia leo nimeamua kuachana na CCM rasmi.Nisije kuwa miongoni mwa majambazi sugu.
 6. jesse alibalio

  Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

  Ni utafiti mwanana kuliko ata huo wa TWAWEZA.Mungu akupiganie mkuu.Tunasimamia ukweli tuliyo ktk kweli ya Bwana.
 7. jesse alibalio

  Ukweli wa tuhuma za Pinda huu hapa

  Mimi sioni msafi ndani ya ccm,ata lipoti siwezi kuiamini sana.Tuwe na fikra mpya ya ku DELETE CCM.
 8. jesse alibalio

  Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

  UKAWA:Histori imeandikwa.Huu ni mwanzo wa mshikamano wa kumg'o mkoloni mweusi.
 9. jesse alibalio

  Mwanasheria Mkuu Zanzibar Akamatwa baada ya kupiga kura ya Hapana

  ​Kama ni kweli,basi BMK-CCM ngoma inogile.
 10. jesse alibalio

  Mwigulu Nchemba avuliwa skafu na Spika!

  Jamani Mwigulu weweee.Sifa za nini?
 11. jesse alibalio

  Treni za umeme na reli za juu kwa juu Dar es salaam..Shuka nayo

  Kama kweli mpango huo upo basi ujue hilo ni dill la kupiga hela za CCM 2015.
 12. jesse alibalio

  Mama Maria Nyerere avunja Ukimya, aungana na Vijana wazalendo kulaani kutukanwa Mwalimu

  Swali langu ni moja tu "CCM mnamuenzi Nyerere kwa lipi?.
Top Bottom