Kusoma katika umri huu kunategemeana sn na ari ya kujituma toka ndani yako na malengo uliyojiwekea..na usiogope kuwa na ujasiri kwamba hata iweje mm ntafauru.Tafuta syallabus za masomo yote, soma kila kipengele maada kwa maada,nenda shule km majengo,old moshi;mosh tech.mawenzi nk.ongea na...
Mkuu haya yote yanatokana na aina ya mwanaume uliye naye.mf wazazi wako hawajali kwann wewe uwajali wa kwake.mwanaume wa leo anakwambia mm naona tujenge nyumba mjengo wa maputo ulivuma sn miaka.ya 90.ukimwelekeza tujenge nyumba nzuri ya kisasa anakuona mjuaji.Uwiz wanawake si wezi ila...
Samahani mm mgeni humu ndani sijui km nimepost sehemu sahihi.
Nahitaji msaada km kuna mtu ana kiwanja Morogoro mjini kwa ajili ya kujenga nyumba ya kawaida tu, (aniuuzie isiwe nje sana ya mji mfano ikiwa 7 to 8 km from ofisi za manispaa ni vema zaid). Pia nahitaji nyumba ya kupanga Morogoro...
Samahi mm mgeni humu ndani sijui km nipost sehemu sahihi.
Nahitaji msaada km kuna mtu ana kiwanja Morogoro mjini kwa ajili ya kujenga nyumba ya kawaida tu, (aniuuzie isiwe nje sana ya mji mfano ikiwa 7 to 8 km from ofisi za manispaa ni vema zaid.Pia nahitaji nyumba ya kupanga Morogoro mjini pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.