Kwa mujibu wa katiba yetu
Katibu mkuu kiongozi ndo katibu mtendaji wa baraza la mawaziri
Baada ya rais kuwa mwenyekt wa baraza la mawazri anaefata ni katibu mkuu kiongozi.
kama tumeshindwa kujadili mambo ya msingi bora tuache
huwezi ukatoa mada ya kipumbavu kama hiyo ukisubri upate majibu mazr ndo maana wajinga na wapumbavu wenzako wamekuunga mkono
mi nawaita wapumbavu kwa sababu katiba na sheria za nchi yetu haziruhusu kiongozi wa nchi kumtolea tusi lolote.
Hoja ya msingi katika taifa letu
Mtumishi yoyote wa mungu hatakiwi popote awapa kutamka wazi wazi kuwa anamuunga na anamwamini mgombea furan ndo maana hakuna kampen kanisan.
Kwahyo huyo mch.aliyataka mwenyewe acha ajioshe na kutoungwa mkono na watz walio wengi kwa maneno yake ya kukejeli...
Mh.rais mpaka sasa amewateua
1.TULIA A MWASASU
2.PROF.MAKAMA MBALAWA
3.POSSY ABDALLAH
4.BAROZI A.MAHIGA
Amebakiza nafac zake 6 tu ktk kipindi cha miaka 5.
Kwani UKAWA waliibiwa kura jimbo gani
na kama wanadai waliibiwa kura kwann wagombea wao hawasemi kura zimeibiwa ?
mfano majimbo yaliyochukuliwa na UKAWA lakini kura za rais zikaenda CCM ni pamoja na jimbo la
Singida mas(Tindi lisu)
Ukerewe
Bunda na mengine
Sasa kwann hatujawahi kusikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.