Sijaona Kiongozi wa UKAWA aliyeshiriki katika zoezi la usafi leo, kulikoni??

Nimeshuhudia viongozi wa serikali, viongozi wa madhehebu mbali mbali hadi wale wa MABOHORA wakishiriki usafi ila sijaona viongozi wa UKAWA wakishiriki zoezi hili. It means hata ingekuwa ni azimio la bunge wao wangepinga.

Hivi kazi ya wapinzani ni kuwa opposite na kila jambo? Kama ndivyo, basi ni bora upinzani ukafutwa kwani ni kurudisha maendeleo nyumba. Hata usafi wanapinga!! Wakati wao ndiyo wachafuzi wakubwa wa mazingira wakiwa wanafanya maandamano.

Mnyika tu ndiye aliyefanya. Wengine wote wa UKAWA wamesusa!! Hata Lema anayeomba kura!! Mnyika namweshimu kama mbunge pekee mwelewa ndani ya CDM ndo maana siku moja nilimshauri aachane na genge la CDM.

Kutukuona kwako sio kwamba jambo halijatokea ila ni uthibitisho wa ufinyu wako. Hii nchi ni kubwa sana, na sio kila mtu anataka kufanya jambo kwa kujionesha. Wewe unajua kilichoendelea Ndronga, Ilungu, Iyenzele, Ikozi, Manyovu? Hiyo ni mikoa mitano tofauti. Tanzania ni kubwa sana. Huna data huna haki ya kuongea.
 
kwahiyo Mnyika anabeba ukawa yote? Vp viongozi wakubwa? Ndo maana siku zote namuunga Mnyika mkono. Wengine wote machonjo tu!

Ushaumbuka..unatafuta pa kutokea mnyika ni kiongoz mdogo chaman? au hujui cheo chake zaid ya hicho cha ubunge' badilikeni nyie msiwe mnakurupuka ili muwe wa kwanza kupost vitu, hapa cyo FB
 
Na mimi sijashiriki, unasemaje sasa?! Pumbavu, hata hujui maana ya "opposers!" Ngoja nikueleze kidogo; Katika siasa za vyama vingi, Wewe ukiwa opposer halafu ukaamua kumuunga mkono mpinzani wako, jua kabisa utakuwa unamuongezea wafuasi wako. So, principle ya upinzani popote duniani, ni kufunga mdomo hata kama rais afanye jambo jema ki vipi; Ukimsifia hadharani wewe kama kiongozi wa upinzani, utapoteza supporters.

To keep the opposition parties alive, tunahitaji kukosoa zaidi kuliko kuunga mkono. Hiyo, ni principle. Usitegemee kumuona Mbowe, Lowasa na Mbatia wakimuunga mkono hadhrani rais wa CCM?!

Siku nyingine kabla ya kuanzisha thread kunywa kabisa dawa hii; Inaitwa "HALOPERIDOL, 5MG nocte." Itakusaidia kutopost upuuzi kama huu.
 
Umetukana sanaaa lakini mwisho wa cku ulichoandika ni upuuzi na kielelezo cha wew kutumia viloba asubh asubhi pasipo kupata chai
 
Ushaumbuka..unatafuta pa kutokea mnyika ni kiongoz mdogo chaman? au hujui cheo chake zaid ya hicho cha ubunge' badilikeni nyie msiwe mnakurupuka ili muwe wa kwanza kupost vitu, hapa cyo FB

nazungumzia viongozi wa ukawa na siyo wa chama.
 
Na mimi sijashiriki, unasemaje sasa?! Pumbavu, hata hujui maana ya "opposers!" Ngoja nikueleze kidogo; Katika siasa za vyama vingi, Wewe ukiwa opposer halafu ukaamua kumuunga mkono mpinzani wako, jua kabisa utakuwa unamuongezea wafuasi wako. So, principle ya upinzani popote duniani, ni kufunga mdomo hata kama rais afanye jambo jema ki vipi; Ukimsifia hadharani wewe kama kiongozi wa upinzani, utapoteza supporters.

To keep the opposition parties alive, tunahitaji kukosoa zaidi kuliko kuunga mkono. Hiyo, ni principle. Usitegemee kumuona Mbowe, Lowasa na Mbatia wakimuunga mkono hadhrani rais wa CCM?!

Siku nyingine kabla ya kuanzisha thread kunywa kabisa dawa hii; Inaitwa "HALOPERIDOL, 5MG nocte." Itakusaidia kutopost upuuzi kama huu.

sasa mbona mwisho wa siku watabaki peke yao maana waliowachagua wanamuunga mkono yule ambaye hawakumchagua?
 
Kwa taarifa yako kila mtu katika eneo lake alishiriki kwenye usafi! Cha kunishangaza ni baadhi ya wastaafu kwenda na suti kwenye maeneo walikopanga kufanya maonyesho
 
nazungumzia viongozi wa ukawa na siyo wa chama.

Daaah dishen 6 hiz hatar sana!

Kwa taarifa yako kiongoz yyt anaetoka kwenye CHADEMA, CUF, NCCR au NLD ni wa UKAWA automaticaLLy..

Sa kama huyo mnyika ni CCM uko sawa
 
Mnyika amemsaliti Lowasa kwa kumtabua JPM

Hayo ni mawazo yako ya kichonganishi, anacho kifanya JPM ndio wapinzani tulivyotamani na tuna muunga mkono na kuomba acje badilika,
We nyie mafisiem ndio mnaimia roho sababu mlijua atakuwa upande wenu kwa maovu yenu ya miaka 50
 
Please, watendee haki baadhi ya viongozi wa UKAWA.

Mnyika aliwajibika kwa wananchi wake kwa kufanya usafi kama anavyoonekana kwenye hii picha.

CVyYYjVW4AAuu6c.jpg

CVyhTwnUAAAVgUz.jpg

Naona wamemkubali JPM kimyakimya........waache na ile tabia yao ya kisichana ya kususia bunge.
 
Mleta mada kachanganyikiwa, kwani hata Esther Bulaya hukumwona? By the way, kwani viongozi wote walioshiriki usafi walionyeshwa kwenye TVs?
 
Daaah dishen 6 hiz hatar sana!

Kwa taarifa yako kiongoz yyt anaetoka kwenye CHADEMA, CUF, NCCR au NLD ni wa UKAWA automaticaLLy..

Sa kama huyo mnyika ni CCM uko sawa

mwenyekiti wa ukawa, Mbowe. Makaidi alishafariki alikuwa makamu, Mbatia na Lowasa sijui vyeo vyao ila ndo viongozi namaanisha. Ila kuna member kasema Mbowe alifanya Bilcanas japo nilisikia ilizinduliwa jmosi ya wiki iliyopita sasa sijajua uzinduzi ulifanyikia mazingira machafu? But wengine pia wamesema hata UKAWA ni uchafu hivyo ni sawa na mtu ujisaidie halafu uzoe haja yako hahaha
 
Ukawa walikuwa na sera ya usafi kitambo sana kabla hata magufuli hajawa rais
 
Attachments

  • 1449729641870.jpg
    1449729641870.jpg
    22.3 KB · Views: 56
Hapo hiyo picha ni usanii.hawana ufagio wala koleo .hata kuinama tu kuokota taka.wataelewa tuuuu

Acha kukariri ww!!!kwa hiyo unavyojua ww usafi ni mpaka uzibue mitaro na makoleo ????kuanzia ndani mpaka nje sasa ukifanya usafi ndani koleo la nn????wapo waliofanya usafi katka nyumba za ibada ,wengine katka mazingira ya hospitali au vituo vya afya ,,hata kufuta vumbi ni usafi,,,,,
 
Back
Top Bottom