Recent content by Jerry001

  1. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 bila mke imekuwa kitu cha kawaida sana

    Vijana wameshtuka kuwa ndoa ni mtego.
  2. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini siku hizi serikalini wanaaajiri hasa wenye elimu ya diploma? Vipi kuhusu walioanzia degree?

    Diploma hawana malalamiko wala expectations kubwa. Wanapiga sana kazi
  3. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Kuna watu humu Jf wanaandika uzi mpaka unajiona akili yako ndogo sana

    Ukiwa busy sana hata kuandika uzi mrefu unaona karaha. Unaishia kuandika sentensi moja au mbili. Haina maana huna akili.
  4. Jerry001

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ilivyonipokonya Mpenzi wangu

    Sawa Eric Shigongo. Uzuri umemaliza stori yako kuliko ungeandika itaendelea.... Aloo, ungeoga matusi ya wananzengo.
  5. Jerry001

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Acha kujikatisha tamaa mkuu. Kuna ndugu yangu GPA 2.5 yupo Gavoo kitengoni anapiga kazi balaa. Kama kazi haitaki GPA kama sharti la ajira kaza zile za TA(vyuoni) na BOT una qualifications za kuomba. Usiache kuomba.
  6. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Hatua Gani zitachukuliwa kama hakuna El'NINO

    We mzee gharika ya nuhu ilikuwa chini ya saa moja? Umesoma kitabu gani! Biblia inasema mvua ilinyesha siku 40 na maji yalidumu siku 150, Kwa hiyo hicho kitabu chako ulichosoma maji yalijaa ndani ya saa1? Hebu kuwa serious gentleman 🐒 Jamaa anatupiga propaganda. :D
  7. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Huyu alipokuwa akiisema Simba SC kwa Kuidhalilisha wana Yanga SC wote mlikuwa mkimfurahia, sasa kawageukia mvumilieni tu ili Sindano iwaingie vizuri

    Ngoja nikapige kwanza keupe kisha nije na uchambuzi murua.
  8. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Miss Grand Internatinal 2026: Ni kipimo cha watanzania kuungana kwenye kupigania jambo lolote

    Salaam wakuu, Hili jambo nilikuwa silifahamu ila baada ya girlfriend wangu ku-share na mimi nikaanza kulifuatilia. Kwa tafakuri yangu nimeona ni mwanzo mzuri na mwamko wa watanzania kuungana kwenye common goal. Mwanzo sikutaka hata kuliongelea maana najua wanasiasa ni watu wa kuchukua credit...
  9. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

    Wamejazana TRA
  10. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

    Muoe mkuu. Amebadilika
  11. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar ni wazembe na wachafu sana.

    Ulikaribishwa mjini. Pole sana. Njoo Katavi huku sio wazembe na tunatunza mazingira.
  12. Jerry001

    JamiiForums Tanzania EPL, Bundesliga,Laliga,Conference,Europa,Champions League ,Dfb-pokal Alafu bado unakosa Odds 20??? Huu ni mwezi wa kustaafu kubeti ukituliza kichwa

    Kwamba pesa yake ya kumpoza mwezi mmoja naibetia afanye dua mkeka utiki :D
  13. Jerry001

    JamiiForums Tanzania EPL, Bundesliga,Laliga,Conference,Europa,Champions League ,Dfb-pokal Alafu bado unakosa Odds 20??? Huu ni mwezi wa kustaafu kubeti ukituliza kichwa

    Nitumie odds 6 pm mkuu nataka kutengeneza pesa ya kodi. Niliyonayo ni ya mwezi mmoja tu
  14. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Kariakoo derby 10.10.2026 ipo? Kuna mashaka

    Itamalizika kwa sare. Hakuna jipya, hizi timu ni za kisiasa.
Back
Top Bottom