Nina simu yangu samsung gt c3212. Je ina uwezo wa kutumika kama modem kwenye pc yangu? Kwani nimejaribu ku install pc studio 3.2 lakini inashindwa kutambua.kama ndio hatua/vitu vipi vya muhimu?ahsante kwa msaada wenu.
Ahsante kwa mada. Wanajenga kizazi kisichoweza kufikiri kwa kina,kizazi kinachojengwa ni chenye uwezo mkubwa wa ku-guess.Hatari sana na inasikitisha.Ni matokeo ya kuwa na viongozi dhaifu wa kufikiri.
kutakuwa na jibu moja tu: sqrt ya 16 ni 4 na sqrt ya 9 ni 3.Hivyo 4-3=1. +/- zinakuwa applicable wakati una-apply sqrt kila upande wa equality sign when solving for a variable. Upoooo!!!!
Jackson k
Mawazo ya kwamba unywe piriton ni ya upotoshaji.Kwa dozi gani? Hadi lini? Mimi ninafikiri onana na daktari face to face ili umweleze kwa kina na utakusaidia tiba inayostahili,kwa dawa,vyakula au ushauri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.