Recent content by Jerry fransisco

  1. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

    MBOWE lzm AKAE.......hakuna namna.....Poleni Wala Posho za CCM mitandaoni
  2. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

    CHADEMA haiwezi Kudhoofika.Logeni weeee.ongeeeni wee Ila uongozi lzm Upambaniwe......
  3. J

    JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba SC ikiibuka na ushindi dhidi ya Kengold

    Fadlu hataki Mpira wa urembo.kikubwa point tatu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Polisi wamefanikiwa kuingia ndani ya CCM, sasa wanataka kujiingiza kwenye mpira kwa nguvu

    Polisi wamepata la Kujifunza siku nyingine......Kuimarisha Ulinzi
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

    Mi nikilewa napendaga Sana Kupigana.sio najisifu.ila najitahidi niache hii tabia coz pombe ni starehe
  6. J

    JamiiForums Tanzania Timu za watoto wa kihuni

    Kuna chama maeneo ya Tandika Daresalaam linaitwa SIFA POLITANI.Ni balaaa,ndo alipotekea Seleman Mkati aliyesajiliwa Yanga,Juma mazoo aliyesajiliwa Reli Morogoro na Ibrahim ramadhan Ibingi aliesajiliwa Yanga....baba hili chama ni Nyoko kwa fujo uwanja wa MABATINI TANDIKA.na wapinzan wao au wahuni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

    Nilichogundua Chiembe ni muelewa Sana,ila anafurahi kuona uzi wake unajibiwa na wengi.hiyo tu kumjibu au kumquote UWT huyu anaona Raha.
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

    Nilimkuta anauza baa.nikaanza kudate nae.Kuna siku nimemfuma ghetto alilopanga anamuingiza operator was grader.Jamaa ndo walikuwa wanaingia kwa hiyo mbunye haikuliwa walikimbia.Nikasamehe.Nikamtoa baa nikamleta Kwangu.akatulia. Juzi ametoroka yupo Dodoma huko kwenye baa za Kitimoto.Jana anaomba...
  9. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wapinzani lazima wakubali kwamba Uchaguzi umekwisha

    Daah...Keki Ya Taifa
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume utathaminiwa kwa ulichonacho

    Sisi tunaohonga elfu tatu au baby naomba vocha,je tupo ktk hatari ya kufilisika? Au mada inawahusu wanaohonga Kuanzia Laki?
  11. J

    JamiiForums Tanzania SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

    Akipotea Unaathirika nn? hayo ni Manisha aliyojichagulia km wewe ulivyochagua kuwa chawa wa kububujikwa na machozi ukimuona mama kajitokeza hadharani
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane wala Kuficha Uzi wa Yanga SC kwa CAFCL ni mzuri kuliko Wetu wa Simba SC wa CC

    Kanunue sasa unalia Lia hapa ili iweje?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kitwana Selemani Kondo na Rais Benjamin William Mkapa Diamond Jubilee hall 2004

    Faza hao unaowaita waislamu ni kina Nani na labda kipi unawagusia sia Sana katika nyuzi zako? sio kwa ubaya Wala kejeli
Back
Top Bottom