Recent content by Jerindeo

  1. J

    Elimu yetu imeingizwa siasa ndani yake

    Je upangaji wa GPA haiwezi kuwa sababu? Matokeo ya Ualimu GPA ya 4.1 imeeitwa CREDIT wakati ACSEE GPA 3.7 ni Distinction. Ha Ha Ha Ha, BRN ni chiboko ya Kidato cha sita manake mwenye GPA ya 1.7 kapewa CREDIT wakati mwalimu mwenye GPA ya 3.3 kapewa kiwango cha chini kabisa cha ufaulu cha PASS...
  2. J

    Nini maana Ya DISTINCTION katika matokeo?

    Wadau naomba mnisaidie kujua maana hasa ya DISTINCTION, CREDIT na PASS. Nina mdogo wangu amemaliza Ualimu na tunajaribu kupata maana ya ufaulu uliowekwa imekuwa ni shiiiida tu. Matokeo ya Ualimu GPA ya 4.1 imeeitwa CREDIT wakati ACSEE GPA 3.7 ni Distinction. Ha Ha Ha Ha, BRN ni chiboko ya...
  3. J

    Rais Kikwete azindua Sera ya Elimu na Maabara

    Sera mpya ya elimu imebainisha kuwa baadhi ya sheria zitafutwa au kurekebishwa ili kuruhusu utelekezaji wa sera hiyo iliyozinduliwa hivi karibuni. Je hii ina maana kuwa taasisi ambazo sheria zilizozianzisha zikifutwa na zenyewe zitakuwa zimefutwa? Ona maelezo ya sehemu ya sera 4.2 Sheria...
  4. J

    Tundu Lissu: Matokeo ya kidato cha nne ni "uozo" mtupu

    Nadhani hilo ndiyo kubwa zaidi kwani hoja imetolewa kuwa lengo la kutumia GPA ni kurahisisha udahili wa TCU na NACTE na kwamba itafanya mtu aelewe zaidi, kwani nani aliyekuwwa haelewi huo mfumo wa pointi. Kibaya zaidi, wakati wanaiga mfumo wwa GPA wa vyuo vikuu, alama za ufaulu zimetofautiana...
  5. J

    ukweli kuhusu ufaulu kidato cha sita kuwa juu na 0 kupungua

    Kama hali ni hiyo kuna uhalali kweli wa kulinganisha na ufaulu wa mwaka 2013 wakati vigezo ni tofauti kabisa. Yaani alama za C mwaka 2013 sasa ni alama za B+ kisha NECTA wanatuammbia eti ufaulu umeimarika. Yaani huko ni kuimarika au ni kudhoofu? Kweli kuishi ni kuona mengi na ukistaajabu ya...
  6. J

    Matokeo Kidato cha sita: Lengo limetimia!

    RIP elimu ya Tanzania best wishes BRN and big congrats for big achievement
  7. J

    Serikali iingilie kati: Madudu katika Matokeo Kidato cha Sita 2014 yanatisha

    Asante sana ndugu yangu kwa ushauri wako lakini naomba ufahamu kuwa hayo matokeo ndivyo yalivyo kwenye website ya NECTA. Nakushukuru pia kuwa huamini kama mwanafunzi anaweza kufanya Kiswahili tu na kwa maneno yako mengine yawe ndiyo mapambo. Nakushauri tu kuwa kabla hujapost kitu jenga...
  8. J

    Serikali iingilie kati: Madudu katika Matokeo Kidato cha Sita 2014 yanatisha

    Kwa muda mrefu sana suala la madudu na uzembe katika sekta ya elimu vimekuwa vikisikika masikioni mwa watu kiasi ambacho imefika mahali sasa uzembe na madudu imekuwa ni kitu cha kawaida. Tumeshuhudia mpaka Makamu wa Rais ikigawa zawadi feki kwa wanafunzi waliofanya vizuri Kidato cha Nne 2013...
  9. J

    Dr Shukuru Kawambwa amwingiza Makamu wa Rais kwenye kashfa nzito

    SIKU chache baada ya kuripotiwa kwa habari za wanafunzi kumi bora waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha nne mwaka jana kupatiwa zawadi feki, mmoja wa wanafunzi waliokumbwa na mkasa huo ameelezea kilichojiri siku hiyo. Akizungumza na Raia Mwema, mwanafunzi huyo (jina tunalo) alisema...
  10. J

    Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014: DIV I point 3-7

    Taarifa umeelezwa ziko kwenye huo mwongozo. kwani wewe ni nani unayepaswa kuletewa kila kitu bila kukitafuta? Pole safari hii wamekusahau maana huo mwongozo umeshasambazwa nchi nzima. Wapige kimemo kwa kusambaza kabla ya kukuambia. POLE SANA
  11. J

    Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014, DIV I point 3-7

    Mkuu Maksi zitakuwa kama zilivyotangazwa katika viwango vya ufaulu vilivyotangazwa ka Prof Mchome Novemba 2013
  12. J

    Mfumo wa gpa kutumika kuchakata matokeo ya kidato cha nne 2014 na kidato cha sita 2015

    Mkuu kweli hapa ni kupelekana tu yaani Kidato cha sita 2014 watatumia mfumo mpya halafu 2015 mfumo mwingine tofauti kama ilivyooneshwa kwenye mwongozo wa NECTA NECTA imetoa mwongozo wa matumizi ya viwango vya Ufaulu (Aprili 2014) ambao umesambwazwa katika shule zote ze sekondari...
  13. J

    Tetesi:Madaraja ya Ufaulu A-Level

    Hizo tetesi ni za kweli na mpabgo mzima ni huu hapa Serikali kupitia NECTA imetoa mwongozo wa matumizi ya viwango vya Ufaulu (Aprili 2014) ambao umesambwazwa katika shule zote ze sekondari kupitia kwa Maafisa Elimu wa Mikoa. Kwa mujibu wa mwongozo huo Madaraja ya ufaulu kwa Kidato cha Sita...
  14. J

    Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014, DIV I point 3-7

    Serikali kupitia NECTA imetoa mwongozo wa matumizi ya viwango vya Ufaulu (Aprili 2014) ambao umesambwazwa katika shule zote ze sekondari kupitia kwa Maafisa Elimu wa Mikoa. Kwa mujibu wa mwongozo huo Madaraja ya ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014 yatapangwa kwa kutumia mfumo uliooneshwa kwenye...
Back
Top Bottom