Recent content by JEREMIAH ZADOCK

  1. J

    Maaskofu: Kataeni Katiba

    Nawaunga mkono viongozi wangu wa kiroho kwa tamko lao naamini jumapili makanisa yote tutasomewa hlo tamko.
  2. J

    Chagonja na sinema ya mwaka!

    Hapo anayesubiriwa ni kova ili aiendeleze ila watabadilisha location ili ionekane ni mpya.
  3. J

    Matunda ya uanzishwaji wa Red Brigade ya CHADEMA yameanza kuonekana kwa vitendo!

    Hvi umeshirikisha akili yako au unatimiza matakwa ya anayekulipa ujira angalau uweze kwenda chooni?
  4. J

    Chagonja na sinema ya mwaka!

    Tatizo aliyeandika script alikosea kutompa Kova nafasi ya kucheza humu akajikuta kampa chagonja kua director lazima ingeishia njiani tu.
  5. J

    Zitto Kabwe, Ushauri huu utakusaidia katika kipindi hiki ambapo unahitaji utulivu wa ndani

    Ushauri wako ni mzuri sana tena sana huku ndani ana vijana wengi namini watampelekea ushauri wako. Umeshauri kitu cha kujenga na si cha kubomoa.
  6. J

    Wahariri wampuuza Nape

    Kaka mara nyingi sana unakiaibisha chama chetu kwa kauli zako zenye utata ambazo zimekua hazikijengi chama chetu zaidi ya kukichafua machoni pa watanzania. Kabla hujazungumza hebu tafakari kauli zako kama zinajenga chama au kubomoa chama. Kaka mara nyingi umekua mkurupukaji hata unapokua na...
  7. J

    Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa

    Jaman mbona sisi watoto wa kambo hapa lumumba tumekua mtetezi wa Kagenzi kiasi hiki kunani jaman? Mambo ya cdm tuwaachie wenyewe sisi tuweke mikakati yakuendeleza mikakati ya chama chetu ccm tukimsaidia katibu mkuu wetu Kinana kwa kazi anayofanya.
  8. J

    CCM Msibabaishwe na Mngeja pamoja na Lowasa

    Mmmh naomba nisimzungumzie huyo Dr slaa namheshimu sana hata ndani ya chama changu ccm wanamuogopa sana ndio mana wanataka kumwahisha. Ila nataka kujuzwa ndani ya chama changu kama si lowasa wanataka tumpe nan
  9. J

    Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

    Albert Msando ni mweupe sana na mchanga sana kisiasa na upande wa kisheria. Yeye ndio kamfikisha zitto hapo alipo kwa kujifanya anajua kila kitu kumbe mbeleni ni giza.
  10. J

    CCM Msibabaishwe na Mngeja pamoja na Lowasa

    Mangula hatakiwi kwenye hili taifa akisaidiana na Nape. Wao ndio wamejenga makundi na kuua chama chetu cha ccm hata kufanya kionekane chama hovyo sana.
  11. J

    CCM Msibabaishwe na Mngeja pamoja na Lowasa

    Bora umemuuliza manake wanapenda sana kujitoa ufahamu hao vibaraka wa membe.
  12. J

    Picha ya Kinana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma yazua mjadala

    Nyie ukawa muwe na adabu mwacheni katibu wetu achape kazi kama wenu wameketi maofisini tu nendeni mkawaamshe huko.
  13. J

    Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Inaniuma sana kuona ndugu zangu mnakua na siasa za ukanda mpaka leo. Hvi kaskazin wamewafanyaje mpaka muwatukane hvi?
  14. J

    Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Hvi wachaga wamekufanyaje huwezi changia bila kuwataja wachaga? Mbona una akili ndogo sana inamana hapo ndio mwisho wa upeo wako wa kufikiri umeishia? Cdm ni chama kama vilivyo vyama vingine tatizo lao wao wameweza kusimamia sheria zao na katiba ya chama chao wakati sisi ccm hatuwezi hata...
Back
Top Bottom