CCM Msibabaishwe na Mngeja pamoja na Lowasa

Endelea kujidanganya...... kila baada ya dakika 15 lazima Kinana na Lowassa waongee kwenye simu na kupeana mikakati...
Mikakati ya kuendeleza ufisadi siyo.endeleeni tumeshawatambua.huyu mroho wa madaraka lowassa akawe rais richmond.
 
Dr.Slaa ndo raisi mtarajiwa

Mmmh naomba nisimzungumzie huyo Dr slaa namheshimu sana hata ndani ya chama changu ccm wanamuogopa sana ndio mana wanataka kumwahisha. Ila nataka kujuzwa ndani ya chama changu kama si lowasa wanataka tumpe nan
 
Lowasa huku anafanya nini
 
Back
Top Bottom