Wahariri wampuuza Nape

Wahariri wampuuza Nape

Nape akili hana,ana akili ya kwenda maliwatoni kukata gogo tu. Huwezi kuongea ujinga kiasi hicho kiongozi wa kitaifa
 
Jamani Nashangaa kama hadi leo nape anafikiri akiongea kuhusu wapinzani kuna mtu anamsikiliza, hajui kusoma nyakati hii ni tatizo la watu wanafiki wanafikiri wankubalika kumbe siyo, wamenyimwa macho na ufahamu wa rohoni. hatari sana maana atangamia asipodhani,
 
Hoja ni habari kuandikwa kwenye magazeti au kuwafikia walengwa?.

Kwani wewe hiyo habari ya kukanusha umeipata wapi?.

Kama hujaipata kwenye gazeti huoni kuwa ujumbe wake umefika kwa walengwa bila hata ya kutegemea magazeti.

Vijana wa bavicha mnafurahisha sana!

Huwezi hata kuchambua hoja kwa kutumia fikra pana na pevu ili kuelewa mantiki yake.

Kaka mara nyingi sana unakiaibisha chama chetu kwa kauli zako zenye utata ambazo zimekua hazikijengi chama chetu zaidi ya kukichafua machoni pa watanzania. Kabla hujazungumza hebu tafakari kauli zako kama zinajenga chama au kubomoa chama. Kaka mara nyingi umekua mkurupukaji hata unapokua na katibu mkuu wetu umeshindwa kua muenezi wa chama chetu ccm badala yake umekua muenezi wa chadema. Nawapongeza viongozi wangu Kinana na Mwingulu kwa kazi za uzalendo wa chama na taifa.
 
Zitto ni wa thamani sana kuliko nape nauye, watu wanalijua hilo pasipo shaka hata kidogo, kuwa chama tawala tena ccm ni uozo mtupu hakuna jipya tunawajua maswali yao na majibu yao yanajulikana,
 
Nape hana ufahamu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Wamezoea kuua sasa wameumbuka kwani Mangula na Dr. slaa nani Mzee kuliko mwenzake? mimi nionavyo Mangula ni mzee sana tena ana ugonjwa fulani hivi, nashangaa hata kuoa
 
Taarifa ya Nape ya kukanusha tuhuma za chama chake kutaka kumdhuru Dr.Slaa zimepuuzwa kwa kiasi kikubwa na magazeti mengi ya leo kwani wahariri wameipa kisogo habari hiyo kwa kutoichapisha katika kurasa za mbele za magazeti na mengine kutoandika chochote kabisa kuhusu habari hiyo yakiwemo magazeti ya chama na serikali.

Ukiacha habari kuhusu ajali ya Mbeya,habari nyingine iliyotawala ni kauli ya Zitto Kabwe kudai hana taarifa za kufukuzwa na kwamba anasubiri maamuzi ya spika.

Yaani kauli ya Zitto kwa waandishi yamfunika Nape wa chama tawala!

Kweli Nape na CCM yako watu wamewachoka!

Mwisho wa ubaya aibu!



Nape atafute tu njia ya kujisafisha kwani ikifa CCM hatosikika tena zaidi ya kumuona mitandaoni akikata viuno kwenye vibao kata ama kwenye mashindano ya kukuna nazi.
 
Jamani!

Huyu ni katibu wa ITIKADI na UENEZI wa CCM!Mlitegemea afanye nini?

Mie nilishazoea nikimuona nape anaongea kwa TV ni kubadili channel tu kwa sababu najua wazi kwa mujibu wa nafasi yake ni kufanya NYEUSI ionekane NYEUPE na kupindisha ukweli!!

Kwa hiyo asiwasumbue kichwa huyo,yupo KAZINI!!!!

Na ndio maana hata waandishi wa habari wanampuuzia kwa kuwa wameshajua kuwa ni MUHONGO!!!
 
Sasa itafikiaje walengwa bila vyombo husika kuhusika.

Btw Huyu mzee yeye anapambana porini huko akina Chenge wao wapo mjini wanapiga hela.
Mwone huyu nape anavyofikiri anafanya mambo ya msingi badala ya kuwapeleka shule watoto masikini anazidi kuwapoteza mitaani,yaani hana akili akili zake ni mgando sana tena ni za Maharage
 
Nape ni mwendawazimu,hana akili timamu. Taarifa yake imeandikwa na gazeti la Uhuru tu.
Sijawahi kuona mtu ambaye ubongo wake hauna ushirikiano na mdomo wake kama Nepi.

Wenye akili hawangeweza kuandika. Pesa imetolewa na Mangula kutoka katika account yake ya mpesa na sii pesa za CCM iweje yeye awe msemaji wake? Kwani biashara binafsi za Mangula yeye ndio msimamizi wake?
ImageUploadedByJamiiForums1426142247.651389.jpg
Anachofanya Nape ni kuhalalisha kuwa CCM ilikuwa inajua ni nini kinaendelea na kuwa kuna mengine zaidi ya hilo bado hayajawekwa hadharani. Hivi hiki chama kimeshindwa kupata mtu mwenye weledi kushika nafasi hiyo katika wakati mgumu kama huu?
 
Jamani!

Huyu ni katibu wa ITIKADI na UENEZI wa CCM!Mlitegemea afanye nini?

Mie nilishazoea nikimuona nape anaongea kwa TV ni kubadili channel tu kwa sababu najua wazi kwa mujibu wa nafasi yake ni kufanya NYEUSI ionekane NYEUPE na kupindisha ukweli!!

Kwa hiyo asiwasumbue kichwa huyo,yupo KAZINI!!!!

Na ndio maana hata waandishi wa habari wanampuuzia kwa kuwa wameshajua kuwa ni MUHONGO!!!
halo kweli umesema maana anajulikana ni jinamizi la chama chetu
 
Nape nae ni MTU wa kumsikiliza jamani,yaani Mimi huwa nikimuona tu kwenye screen nabadilisha Chanel.
kuna siku mwanangu alilia nilipobadilisha Chanel nape alikuwa akiongea,nikamuuliza mbona unalia mwanangu,akasema baba wewe kila SAA Mpira tu wakati sisi tunataka kuangalia the comedy ya aliyevaa shati Kama LA babu yetu.
nikamwambia huyo sio masanja mkadamizaji we Mtoto,akasema mbona anafanyaga vitu vya kuchekesha Kama wakina joti,hata huwa akipewa mic kuongea mishipa inamtoka Kama masanja?
 
Hoja ni habari kuandikwa kwenye magazeti au kuwafikia walengwa?.

Kwani wewe hiyo habari ya kukanusha umeipata wapi?.

Kama hujaipata kwenye gazeti huoni kuwa ujumbe wake umefika kwa walengwa bila hata ya kutegemea magazeti.

Vijana wa bavicha mnafurahisha sana!

Huwezi hata kuchambua hoja kwa kutumia fikra pana na pevu ili kuelewa mantiki yake.


Hoja hapa ni "KUPUUZWA KWA PROPAGANDA ZA NAPE NA WAHARIRI" kupata hapari au kutopata habaeri hiyo kwa mleta uzi haidhuru kupuuzwa kwa Npe Nnauye dhidi ya wana habari. Ikumbukwe kuwa Watranzani tupo zaidi ya 43,000,000 na watumiaji/member wa JF ni Elfu kadhaa tu. So mtu kuipata habari ya nape hapa Jf sio tijas.
Hata mimi nampuuiza Nape kwani mpuuzi ni wakupuuzwa siku zote.
 
Back
Top Bottom