@all, nimeongea na yule dada frndly, kanieleza mambo mengi, kamwambia akome kunisumbua na me ndo mke wake mtarajiwa, pamoja na hayo kadai anawanawake wengine watatu mitaa tofauti huko wanakoishi, huyu dar now yupo dar, me mwanza, na yule boy kagera, yule dada katoka bukoba ndo karudi dar, na...