Msaada jamani, naumia sana

Msaada jamani, naumia sana

Jerda

Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
48
Reaction score
2
Msaada jaman nahc kuchanganyikiwa, nimekuwa
na mpnz wangu zaid ya 5yrz mpaka
kutambulishana, ila ndan ya 2yrz nimekuwa
nikmsadia kadl ya uwezo wangu anapokuwa
nashida kipesa, na mengne, binafsi ndan ya hcho
kpnd nikiwa na shida huwa haishiwi sababu,
kilichonichanganya zaid n baada yakupigiwa simu
na mdada aliyekuta sms zangu kwenye simu yake
I mean demu wake, nimemtumia sms zakuuliza
toka juzi nakukaa kmia mpaka leo, nimeamua
kupga simu akadai nisubiri aongee na dada yake
kapata ajali ya gari, after 5minutes akadai
nimuache kwanza, nikampigia dada yake akadai
amepata ajali ya gari ndio nikamuliza upo hospital
akadai hapana yupo nyumbani, it meanz haikuwa
seriouz sana, nahc kukata tamaha nahtaji ushauri
wenu!
 
^^
Kuna mapenzi ya miaka 5,kuna msaada wa miaka 2,kuna ajali ya siku 1..
..
Hapa mgonjwa hajui anaumwa nini
^^
 
Sasa kama unajua ana dem mwengine kwanini unapoteza muda wako Kuwa naye?
 
Wewe kinachokusumbua ni hisia tu ndio maana unashindwa kufanya maamuzi sahihi
Hivi mtu wa aina hiyo unakuja kuomba ushauri kweli?

Nilitarajia ningesikia unasema umeshaachana nae kitambo!
 
Huyo dada aliyekupigia simu (demu) wake alikuambia nini?ambacho wewe kimekufanya umtumie sms huyo bwana ako????!!!!
 
sijaelewa ana demu mwingine afu tena na ww uko nae??????????????
What a time wastage lohhh!
 
Jaman, huyo dada wamefarakana, ila source n mimi, na mimi npo mbali japo mawasiliano yalikuwa active, hata kwa wazazi, ndugu na jamaa, na wametumiana sms za matusi nyingi sana, japo mimi nimepata tarifa toka kwa rafiki yetu,
 
Arafu hicho kipindi chote ni long distance, nahapa mimi npo mkoa mwingine na yeye mkoa mwingine
 
Japo nampenda sana dats y naumia nakupata wkt mgumu, nashukru kwa mawazo yenu
 
Wewe!!!
Kwanza si ukamcheki hali yake! Then ujekuomba ushauri wa kujiacha!
 
Jaman, huyo dada wamefarakana, ila source n mimi, na mimi npo mbali japo mawasiliano yalikuwa active, hata kwa wazazi, ndugu na jamaa, na wametumiana sms za matusi nyingi sana, japo mimi nimepata tarifa toka kwa rafiki yetu,

Kwahiyo kugombana kwao ndo umegundua kuwa ana mwanamke mwingine au?
Sijaelewa hapa labda mimi49
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi mnawahi sana kuhukumu pengine tungefahamu za kuwa wachumba kwa miaka 5,sababu zinakuwepo pengine za msingi,mfano ni mwanajeshi anamalizia ile miaka 5 ya service Kabla ya kuruhusiwa kuoa,n.k.
Pole sana kwa maumivu Kama ana "demu" mwingine Kama ulivyosema sasa hapa Taa nyekundu itakuwa imewaka,tengeneza miadi ya kukutana na kuzungumza naye,natambua katika hili atakuwa na kiburi,stand firm and bold Kama haji,fasten your belt its time to go.
 
Hiyo miaka mitano sote tulikuwa shule, nabaada ya shule ndo tulikuwa tunapanga kuoana mwakani december
 
Toka kumaliza yeye alijiajiri mimi nikatafuta ajira ndo nimepata pamanent ajira, nakuanza kuangalia suala zima la kuoana, ndo hivo majanga sasa, real heartz me!
 
mimi49 ndio kugombana kwao ndo ivo, nimejua
 
Last edited by a moderator:
Ukiona paka anakukimbia.........jua keshachungulia sufuria yako.......
 
Sijui ni mimi tu sijaelewa au kuna wengine. Hebu tuliza moyo Jerda na uelezee vizuri ili upatiwe msaada na mawazo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom