Achana na breakfast zuga zuga ikifika mchana tafuta sehemu wanapouza wali wa buku jero piga plate moja ikibaki buku jero nyingine utakula usiku wali au ugali wa buku jero au kiepe kikavu pia ni buku jero elfu tatu ni kubwa msiichukulie poa
Habari ya wakati huu wakuu kuna jambo linanitatiza hapa hii Hp 24 inch nataka kuuziwa 130k na hii lenovo 22 inch nauziwa 180k mimi na ubahili wangu nataka kupita na hii Hp ya 130k ila nahofu why inch 24 inauzwa bei kitonga alafu inch 22 inauzwa bei juu je tofauti ni hiyo frameless au kuna...
Habari zenu wataalamu
Nina PC ya HP mara nilipoogeza tu disk zingine zikawa tatu ikawa kila nikiwasha inaniletea maelezo na maelekezo huku ikitaja na majina ya disk na nafasi zilizomo humo
Sasa juzi nikapata muda nikayafatisha jinsi yanavyo elekeza yale maelezo maelezo yenyewe yako kwenye picha...
kuna mchomngo nausikilizia ukitiki nitakuja huko kufungua sehemu ya kuuza chakula cha watu wa hali ya kati nitaanda mazingira mazuri na usafi wa hali ya juu naamini watu kama wewe huko mko wengi hivyo sitakosa maokoto
Habari za maisha wakuu
Tulitengana akaondoka na mtoto akaenda kukaa kwa dada yake baadae alipata mtu mwingine akamuoa siku ya ndoa yake aliambiwa na dada yake mkubwa pamoja na mume wake huyo kua anipigie simu kwamba anaolewa na kama nikitaka kumsalimia mtoto nimpigie dada yake na sio yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.