Leo umetembea na huyo house girl, hii ina maana hata ukimuoa huyo kama imani yako ya dini inaruhusu na ukamwekea house girl pia utatembea naye. Koma hiyo tabia, tamaa zako unasingizia saa za kurudi mkeo? usimuue bure.
mama Heri

Kwa faida ya mwanao mfuate mmeo Kibaha au mshawishi arudi Dar. Tumia njia ya maombi tu na si vinginevyo. Ikishindikana sana kaa utulie ulee mwanao na muombe Mwenyezi Mungu pekee atakusaidia, hakuna haja ya kuhangaika na wanaume utakufa uache mwanao mdogo Mungu atakujalia mme uliye ubavu wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.