Recent content by Jendahyeka

  1. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba uraia Zanzibar

    Ina maana humu hakuna watu wa uhamiaji Zenji
  2. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba uraia Zanzibar

    Kuna namna hainipendezi kwenye huu muungano. Yaani ukiwa mzanzibar una haki zote katika huu muungano ila ukiwa mtanganyika huwezi hata kuajiriwa na Serikali ya Zanzibar wala kwenda kujenga Zenji, ila ukiwa mzenji unaweza fanya lolote huku bara sasa si ni heri uwe Mzanzibari tuu.... Naomben...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

    Aisee nisiwe mnafki ni Tsh.45000+
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua uwezo wa umeme wa 3 phase wa Tanesco

    Fika ofisi ya TANESCO iliyo karibu yako
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kamba
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ukilewa sana kisha ukalala unaweza kuota ndoto ndani ya ndoto na ukiwa kwenye hiyo ndoto ukaota tena ndoto ila process ya kuamka inaweza kukuchizisha

    Hii huwezi kusema ndoto ndani ya ndoto ... Mimi kwangu ni kawaida kuota ndoto ndani ya ndoto Naweza nikaota jambo fulani alafu nikashtuka lakini hata hiyo kushtuka ni kuwa nimeota nimeshtuka kutoka kwenye ndoto angali bado nimelala. Ninapokuja kushtuka in reality ndo huwa natambua kuwa...
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wewe ndo uliliwa kimasihala
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Naunga mkono hoja
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

    Acha kumlinganisha mama na vitu vya kijinga
  10. J

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Tulioenda kukagua post za huyu mwamba tujuane kwa like moja nzito
  11. J

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Una hali gani huko ulipo kiongozi
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Haya mliokuwa mnasubiri namba E mfanye mtuoneshe hizo gari mlizonunua
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kuomba showtime kwa demu ambaye hamjuani?

    Hata likiwa kahaba ukiliambia hivyo litakutukana kufa... Labda ulikute site
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kuomba showtime kwa demu ambaye hamjuani?

    Hahaha umetisha
Back
Top Bottom