Recent content by Jemie

  1. J

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Polee sana kwa kuumia moyo. Inawezekana alitamani kuanza mahusiano na wewe lakini moyo wake bado una majeraha hajamsahau x wake. Maisha ni mafupi sana kubali matokeo. Heri ukweli wake kuliko angeendelea kuwa na wewe huku akifake.
  2. J

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Polee sana kwa maumivu. Kitu ambacho tunapaswa kukielewa kuwa mahusiano ni hisia. Na unaweza kumpenda mtu na yeye asikupende.Hivyo shukuru amekua muwazi kwako ingali bado mapema. Usiumie wala kufadhaika.
  3. J

    Hii ni miujiza siamini hata! Nahisi naota

    Ndo maana huwa wanasema ukitenda wema unajitendea na ukitenda mabaya unajitendea. Sadaka si kutoa kanisani pekee bali hata kwa wale wenye uhitaji. Na kwa wenye imani Mungu kamwe hawezi kuja kwa sura ya Kimungu bali kwa sura ya mwanadamu. Ishawahi kunitokea pia miaka hiyo nilikuwa nina elfu 5 tu...
  4. J

    Ila kupendwa raha nyiee

    Kuutumia upendo wa mtu kama udhaifu sio ushujaa. Watu wenye tabia hizi ndo mnafanya mioyo ya wanawake kuwa migumu. Kesho umefika wakati wa kuoa kila mwanamke unayemgusa anakupiga matukio. Mnaanza kuleta nyuzi humu za wanawake kutanguliza mbele pesa kumbe ndo malipo mliyoyapanda. Usifanye kitu...
  5. J

    Rafiki yangu analazimisha akatumie kitambulisho changu kupata simu ya mkopo, hii haitaniletea shida?

    Huyo rafiki naye wa kukaa naye kwa tahadhari. Rafiki wa kweli hawezi omba msaada katika vitu kama hivyo. Bora hata angekuwa anaumwa, anahitaji hela ya matibabu kweli unaweza jitoa. Katika maisha usiogope kufanya maamuzi eti kwa sababu watakuonaje. Sema tu siwezi kukupa full stop...
  6. J

    Nimepoteza marafiki kisa mke wangu!

    Daaah mtihani sana. Katika maisha kila mtu ana nafasi yake. Kuna ndugu mmoja na yeye hivyohivyo alioa kabila moja la kaskazini. Ndugu wa mwanaume wakienda kusalimia kama siku hiyo kumepikwa makande watakula hayo hayo. Ila wakienda ndugu zake zinapikwa bufeee za haja. Akamtenga mwanaume na ndugu...
  7. J

    Kosa gani la kifedha au kiuchumi ulilifanya ukajutia?

    Hii comment imeniacha hoii eti kisukari na pressure vinakutana katikati ya kitovu
  8. J

    Naomba mnishauri kuhusiana na huyu dada yangu mkubwa

    Polee saana kwa changamoto ya dada. Ndoa ni muunganiko wa hiyari wa watu 2. Magumu na mepesi wanayojua ni wanandoa. Na hakuna sheria inayoruhusu mwanandoa kuvumilia vitendo vya kikatili na vinapaswa kupigwa vita kwa nguvu zote. Mimi ni mwanamke ukweli ni lazima tuuseme. Katika ndoa nyingi...
  9. J

    Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada

    Kabisaa hakuna kazi m aya as long as unapata fedha ya halali sema changamoto kubwa ipo kwenye mtazamo wa kijamii na familia zetu. Kuwa kwa level ya elimu unastahili kazi kubwa. Wakati naomba kazi ya kufagia nilishirikisha baadhi ya marafiki lkn walichoniambia khaaa kutoka degree hadi kufagia...
  10. J

    Kwa nini nawaelewa ambao Wanaanza kutafuta Pesa ndio wajenge na SIO kujenga ukiwa na kipato kidogo

    Kwenye maisha hatuwezi kufanana. Kila mtu na kipaumbele chake. Wakati tunaanza kazi nilikuwa na rafiki yangu yeye alikuwa na familia kubwa wanaishi kwenye upangaji. Hivyo tukaamua kuchukua mkopo. Tulipopata yeye akaenda kujenga familia yake ikapata pa kuishi. Binafsi sikuwa na familia hela...
  11. J

    Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada

    Polee sana kwa changamoto. Watu wengi kwenye utafutaji tumepitia changamoto kama yako. Nikutie tu moyo hali hiyo haidumu milele. Binafsi baada ya kumaliza chuo ajira ngumu. Nilikuwa naenda boma,,nachagua nguo za mtumba nzuri naenda kuuza mtaani. Nikawa napata faida ndogo isiyotosheleza...
  12. J

    Ni sahihi kulea mtoto wa Kambo?

    Mlee kwa upendo mkubwa sana. Kwa sababu kesho na kesho kutwa utazaa watoto wengine na mkeo na hao watoto watakuwa ndugu yao. Yule mtoto kweli anaweza kuwa anateseka na mama wa kambo asihangaike na malezi ya mtoto kwa kigezo kuwa mbona mama yake yupo kwa nini nihangaike. Mtoto atakuwa hana pa...
  13. J

    Anaomba Sana Hela, sasa Leo nimemchana

    Mahusi Mahusiano ya sasa yanachangamoto kubwa. Kila mtu amekaa kimaslahi na wengine wamekaa standby wanahisi kupigwa matukio. Niliwahi kuwa na mahusiano na mtu,,japo sinaga tabia ya kuomba hela kwa mwanaume. Basi tulidate kama miezi 3 hivi akapata msiba kwao nikajitoa nikamtumia rambirambi...
  14. J

    Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

    Polee sana kwa changamoto. Inauma sana kwa mtu uliyezoea kuwasiliana kila siku ghafla akate mawasiliano. Inaweza kuwa ni hisia zako tu lkn kusiwe na kitu kibaya kati yenu. Wanaume wengi wakiwa na changamoto wanapenda kuwa kimya na kutowasiliana lkn wanawake tukiwa na changamoto tunapenda kuongea...
  15. J

    Wanangu hawapendani

    Unaweza kuwalaumi watoto lkn makosa yapo kwa wazazi. Watoto wanapozaliwa ubongo wao unakuwa mweupe kama karatasi lkn matendo tunayoyatenda kwao ndio yanayojijenga kwenye ubongo wako. Katika suala la malezi tunaambia wazazi tuwekeze katika umri wa mtoto kuanzia akiwa na miaka 0 hadi 8 ambapo...
Back
Top Bottom