Recent content by Jemedari

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Zitto ni mfano wa Mke anaejigamba kila siku.."Wanaume wako wengi" ukitaka kumuandikia Talaka ili awe huru na hao wanaume anakimbilia Mahakamani kuzuia talaka
  2. J

    JamiiForums Tanzania Toa maoni yako juu ya wagombea hawa wa BAVICHA (Chadema) taifa

    Inasikitisha sana kuona Vijana wa Chadema wakianza kujikuza katika siasa na sarakasi zinazofanywa na wana-CCM katika chaguzi zao. CHADEMA kimejitambulisha kwa wananchi kama chama mbadala wa CCM katika kuiongoza na kuiletea nchi yetu maendeleo. Kuwa mbadala yabidi uonyeshe kuanzia kwenye kila...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika, Zitto na Regia: Tupeni mchanganuo wa hela zinazolipwa kwa Mbunge ili tujue

    Nasubiri kwa hamu kubwa
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Mbowe au CHADEMA???

    Sajenti naona unalichukulia hili suala juu juu...Kiuhalisia CCM wanajua vyema uwezo wa kiakili, kifikra na kiuongozi ambao wabunge wa CHADEMA wanao na ndio maana wanaunga mkono mapendekezo ya Hamad na Kafulila...hilo ni moja... na pili CCM wana-play political game kwa kupitia mgongo wa CUF na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

    Naamini watu watakaojitokeza NMC leo watatuma ujumbe wa kutosha kwa hao washika virungu kuwa Nguvu Ya Umma ni zaidi yao
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Dr. Slaa lau angejua...

    Non Sense...!
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Majimbo ambayo upinzani umezulumiwa waziwazi

    Ukiangalia kwa makini, majimbo mengi ambayo chadema wameshinda ilihitajika nguvu kubwa kutoka kwa wananchi kushinikiza matokeo yatolewe hata kukesha watu walikesha. Vp kwenye majimbo ambayo umma haukujitokeza kwa nguvu na idadi kubwa?
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Sabodo aichangia CHADEMA Milioni 100 (tena)

    huyu jamaa anajiamini sana, ni wa ukweli....
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Sabodo aichangia CHADEMA Milioni 100 (tena)

    Hurraay Sabodo....!
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Sabodo aichangia CHADEMA Milioni 100 (tena)

    Ijapokua hawezi kuzungumza kiswahili fasaa, bodylanguage yake by the tym anaelezea kuchukizwa na kitendo cha JK kuwashika mikono na kuwaita watu safi watuhumiwa wa ufisadi ilionyesha wazi jinsi alivyoudhika na jinsi gani hana woga wala wasiwasi kwa maamuzi yake.....nitafuatili kujua hasa mtu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Sabodo aichangia CHADEMA Milioni 100 (tena)

    Source: Mlimani TV Mfanyabiashara maarufu mwenye asili ya kihindi Ndg.Sabodo amekichangia Chama cha Demokrasia na Maendeleo shilingi Milioni 100 (kwa mara ya pili sasa) na kuweka wazi kwamba yeye ni mwwnachama na kada wa siku nyingi wa CCM lakini amekerwa na tukio la Mwenyekiti wa chama chake...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mama Salma Kikwete alalamikia kuonyeshwa alama ya Chadema

    Kazi kwake............
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 REDET & Synovate hamtaweza kuzuia mabadiliko...

    Nimechoshwa na matokeo ya uongo wanayotoa hawa vibaraka, nadhani hawatambui kuwa mabadiliko ni kama mvua, kama inanyesha inanyesha..Hta wakimpa 100%...mabadiliko yapo njiani...tunakuja na watalokota benyewe kwenye nyavu....
Back
Top Bottom