Recent content by Jembe Ulimi

  1. J

    Rais Magufuli, unaua Uchumi wa nchi makusudi au ni sabotage?

    Mwananchi masikini anae tafuta mlo moja kwa kutwa mheshimiwa amesema asishikwe kodi washikwe matajiri na mtajiri wapo ambao wana magari ya milioni mia mbili nyumba zake kumi kila moja milioni mia tatu hawa ndio wanao lalamika masikini wanalalamika kwa lipi kama ni kwa mlo mmoja ndio huhuo
  2. J

    Sheria ya Mitandao ina kipengele kinachozuia matumizi ya majina bandia mitandaoni?

    Hivi uwanja huu kuna wizi wamiamala kama ni maneno hata kwenye vijiwe vya kahawa yapo
  3. J

    RC Makonda atoa "ultimatum" kwa Wakuu wa Wilaya kuondoa machinga wote waliovamia mitaa haraka

    Nyinyi ni jembe la mkono kina makonda jembe ulimi
  4. J

    RC Makonda atoa "ultimatum" kwa Wakuu wa Wilaya kuondoa machinga wote waliovamia mitaa haraka

    Kila nikiangalia naona wanalazimisha mzoga utembee sijuwi
  5. J

    Kuhubiri amani wakati watu wana njaa ni jambo lisilowezekana

    Mtaimba mapambio usiku kucha lakini roho hairudi
  6. J

    TCRA: Wenye akaunti ‘feki’ kukiona

    Jamani sikilizeni mbona hawazungumzi wizi unaofanywa na vijana wanaotembe mtaani wanasajili laini haya makampuni yapigwe marufuku kutembeza laini mtaani
  7. J

    Rais Magufuli, Mawaziri na watendaji wake, ni kama ujenzi wa wa Mnara Babeli

    Nimekwisha sema ndani ya ccm wapo chadema na ndani ya chadema wapo ccm hivi watanzania tutarajie nini tutasonga mbele au tutabaki tulipo au tutarudi nyuma rais magufuli ni mzuri sana tena sana lakini kuna unyama anaofanyiwa huyu rais alituomba watanzania tusaidie tena tumuombe mungu kifupi ana...
  8. J

    Kakataa kuolewa na mimi sababu sijatahiriwa

    Kwani ulifikiria yeye ni refa mpaka amiliki firimbi
  9. J

    Inawezekana makosa ya Sokoine yakajirudia

    Nyerere na sokoine wali kua na azimio la arusha hiyo ndio silaha yao kwa sasa uharo bila nepi habari ndio hiyo
  10. J

    Rais Dk Magufuli aahidi kumnunulia mlemavu bajaji

    Magufuli ni mtoto wa masikini ndio maana ana huruma na kama swala la bandari kukosa mizigo hata utawala wa nyerere kulikua hakuna mizigo na tuli ishi tulikua tuna vaa kaputura saba lakini matako yanaonekana magufuli kaza buti mpaka turudi hapo hapo tulipo toka tuna hamu na utawala wa nyerere
  11. J

    Baadhi ya viongozi bora wametoka kwenye familia tajiri

    Hivi hujuwi ubepari ni unyama hakuna mtu mbaya kama tajiri masikini ana kumbuka alivyo teseka alipokua mtoto alilala na njaa alikosa mavazi kwa hiyo akimuona mewingine anakua na huruma
  12. J

    Machinga ni kero kubwa, Makonda aliweza lakini Magufuli kavuruga

    Nimekwisha sema nchi imebalehe hata ukifungia ndani asubuhi utaikuta nchee ukiuliza umetokea wapi haijuwi sijuwi vibaka mara watoto wa mazingira magumu mara machangu doa mara miji ina panuka haraka kwa sasa vijijini hakukaliki na mijini hakukaliki sheria kandamizi utakuta mtu haki yake jasho...
  13. J

    Mamlaka ya Bandari nchini TPA imesema inakabiliwa na upungufu wa mizigo

    Hii nchi ime balehe hata ukifungia ndani asubuhi utaikuta njee
Back
Top Bottom