Recent content by Jemat

  1. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Poker, usiwaze maana Fally Ipupa Nsimba ndio Michael Jackson wa afrika
  2. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Taken boss 😁
  3. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Ila Wazee, Fally Ipupa really knew how to show us the full extent of his talent and ability aiseeeh acha aiseeeh acha aiseeeh 🥰🥰
  4. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Aaah wapi
  5. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Karibu sana Leo Dada kama hautajali Uvae miniskirt ya pink 🥰🥰
  6. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Yeah ni delivering non-stop energy from Congolese rhumba Mzee. Hautajutia kutoa hyo panjee Yako
  7. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Huyo ndio Fally Ipupa Nsimba
  8. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Kwenye wimbo wa Koffi olomide wa "Force De Frappe" Vocals ilikuwa na watu kama (sjui kama nitawakumbuka wote, am stand to be corrected). Fally Ipupa “Di Caprio” , Koffi Olomide mwenyewe, Jordan Nkusa , Gibson Butukundolo aka“Prince. Wengine ni Montana Kamenga , Deo Brando Mujinga , Geco Burro...
  9. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Fally Ipupa aka Di Caprio ni one of Mopao Mokonzi Maximum.
  10. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Kwamba?
  11. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Fally alikuwa ni Top Dancers on the Koffi kwenye album ya LOI 🙌
  12. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Hivi Jasmine Bado Yuko hapa mjini
  13. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Ila Fally ni highly talented artiste wa modern rhumba. Njooni Nov 28 pale Lugalo tu enjoy hits kama Associe, Mayday, Sopeka ni
  14. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Mjini mipango broda 🤣🤣
  15. J

    JamiiForums Majizzo anamleta Fally Ipupa Jijini Dar, Nov. 28,2026

    Wakurungwa na wapenda Burudani ya muziki wa rhumba, bishoo wa rhumba, Fally Ipupa, anatarajiwa kutua jijini Dsm Nov. 28, 2026 kwa ajili ya kufanya tamasha kubwa la burudani. Wajuba, ujue shoo ya mwisho ya fally ipupa kwa Tzee ilikuwa ni 2021 ambayo ilikuwa ni Dsm na Mza. Shoo hyo ya kibabe...
Back
Top Bottom