Daah huyo jamaa na crew yake walishawahi nivamia Kigamboni wakati nasoma na kuniibia laptop yangu. Jamaa alikuwa mtemi sana na alikuwa akiogopwa kweli kweli.
naona wameingia tamaa baada ya kuwa nawateja wengi wanaofanya ads kwa sasa..FB ilikuwa platform yenye nguvu sana 2017 kushuka chini,na instagram inaelekea huko pia
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2014,nimeenda iringa kwenye graduation ya mdogo wangu.Sasa kuna best friend wangu wa kitambo sana(Ke),ambaye alikuwa anaishi iringa,nilivyomwambia nipo tu akasema nifanye hima nikamsalimie,maana tulikuwa hatujawahi kuonana takribani miaka 5 hivi....
NILIVYOKULA TUNDA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.