Kama kuna chombo cha habari nakikubalali kwa sasa katika kipindi hichi cha uchaguzi ni kituo cha television cha "AZAM TWO", hawa jamaa wamejipanga vilivyo, wanatoa habari za kina, majadiliano ya kina na yenye tija kuhusu mambo yote yaliyohit kwenye ulimwengu wa siasa.
Wanaidadavua habari...
Kwani kuna kosa gani wanajeshi wataalamu wa IT kwenda NEC?...me nadhani muheshimiwa Mbowe angejikita zaidi kwenye kutangaza sera za chama, huu si wakati wa malumbano na vyombo vya dola, wananchi tunawaamini, na tuko nyuma yao.
Rais wa Tanzania na Kenya wamekutana kwa faragha Namibia na kukubaliana kuboresha mahusiano ya kidiplomasia kwa kufungua mipaka na kuruhusu magari ya watalii ya Tanzania kufika kwenye viwanja vya ndege vya kenya na kuruhusu ndege za Kenya kutua kwenye airport ya TZ kama ilivyokua...
Kiwanya kinauza kigamboni gezaulole, kimepimwa na kina hati. Ni kwa matumizi ya jamii (public use) hivyo unaweza jenga shule, au ukimbi, au biashara yeyote. Ukubwa ni sqm 1240.
Bei mil 40
Leo, wakati rais anaongea na wazee pale dimond, nahisi alikua na nia ya kuwasafisha kina Tibaijuka na Muhongo!...lakini alipousoma upepo, akaamua kumtoa kafara Prof mmoja na mwingine kumuweka kiporo!!!?...Hongera kwa kuusoma upepo, we ni kiongozi wa uma, unapaswa kutekeleza matakwa ya uma
Nilihisi, na nilichokihisi ndo kinaelekea kutokea, vikao vyote ambavyo muheshimiwa rais uwa anaviandaa kuongea na wazee, huwa na lengo la kuisafisha na kuilinda serikali anayoisimamia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.