Ninachoamini ni kwamba, CCM sasa hivi washajua tayari kwamba, uwezekano wa kushinda ni mdogo sana, hivyo kikubwa wanachowaza sasa hivi ni namna ya kuiba kura. Walianza na vyombo vya ulinzi kuwataka waorodheshe taarifa zao za kadi za kura, na wamefanikiwa kuwabana, hivyo kuna uwezekano wa...
Umesahau Polisi, 90% ni Lowasa (Ukawa). Najua wengi hapa hamtaamini. Ukweli ni kwamba, Polisi wana hasira sana na CCM, wamewanyima ongezeko la posho ya chakula, badala yake wamewaongezea wanajeshi peke Yao. Polisi wameahidi kuzuia bao la mkono lililosemwa na Nape, vinginevyo wanajeshi wenyewe...
Kaka umenikuna sana kuhusu hii mada,Kiyosaki namkubali sana, hiki kitabu nilikisoma nikaishia katikati, lakini ni kizuri sana. Anacho kingine kinaitwa CASH FLOW QUADRANT, ni mawazo mazuri sana. Ukiingia kwenye network marketing, lazima usome hivi vitabu, vinginevyo utaiona hiyo biashara kama ni...
Heshima kwenu wadau.
Kwa muda mrefu nimekuwa nawaza jinsi gani niweze kuwekeza, na eneo mhimu la uwekezaji kutokana na sisi wenye vipato vidogo ni kwenye hisa. Naomba kueleweshwa zaidi juu ya hisa, kampuni ipi inatoa faida kubwa, nikianza na mtaji wa milioni 5,baada ya miaka 2 faida itakuwaje...
Kaulizwa juu ya ishu ya kukamatwa na unga China, akasema katika maisha yake hajawahi kufika China.
Kaulizwa ishu ya kutumia madaraka ya Baba yake kutake advantage ya vyeo ndani ya chama, kasema madaraka ya Baba yake hayahusiani kwa lolote na siasa zake.
Nimekuja kumshangaa alipoulizwa...
Kuna mdau mmoja ametaja gari la Leina, inaitwa LEINA TOURS, route ya DAR - KAHAMA, ni balaa tupu. Nshawahi kutoka Kahama sa 12 asbh, sa 1 jioni, tulikuwa foleni ya Ubungo, hilo basi linaovertake mpaka mashangingi.
Mkuu TISA DISEMBA, nakubaliana na wewe mia kwa mia katika mawazo yako, wabongo ni wapga dili sana, hapo watu wanashangilia motisha, huku nyuma watu wanapga mpunga. Halafu eti kila siku watapata mgao wa samaki bure, thubutu, nimeishi huko kigoma, mha ni mbishi balaa.
RICARDO KAKA, nakushukuru sana kaka, kuna watu humu jf wapo kwa ajili ya kutukana watu na siyo kuchangia hoja. Kaka hii michuano ya UEFA ya mwishoni mwa tisini kuja mwaka 2000 hadi katikati ya 2000 Kuna timu zilikuwa zinafanya maajabu sana, ikumbuke Man U ilivyotwaa taji mbele ya Bayern.
Siku zote kuharisha kwa kutumia mdomo hudhoofisha utu wa mtu. Huna haja ya kunishambulia mimi, shambulia hoja mkuu. Kukuonesha kwamba sijakurupuka, tembelea UEFA.COM, tafuta mechi ya robo fainali Kati ya timu hzo msimu huska. Then, usijione we ni bingwa wa matusi kwa wenzio, kama huna cha...
Heshima nyingi sana kwenu wadau na wanazi wa soka hususani ulaya.
Tukiwa tunasubiri kuangalia mtanange wa UEFA Leo,naomba niwakumbushe timu hii iliyopotea katika michuano hii na katika La liga pia, lakini iliwahi kutisha na kutikisa kigogo wa soka la ulaya wakati huo
Katika msimu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.