JamiiForums Tanzania
Yaaa Ilahi
well done! jaribu kufanya maboresho hapo kwenye 'si mtu dhaifu' weka 'ni mtu dhaifu' ili ipendeze zaidi. nasema hivyo kwasababu hiki ulichoandika kipo katika mfumo wa dua; na taratibu za kuomba dua ni kukiri makosa na mapungufu yote tuliyonayo wanadamu, kumsifu mola kwa sifa nzuri nzuri zote za...