Recent content by jeff mahugi

  1. jeff mahugi

    SoC01 Mambo ya lazima kwa wananchi ili kuvuka uchumi wa kati

    Habari zenu wanajamvi ni matumaini yangu wote ni wazima. moja kwa moja nianze kuelezea namna wananchi watakavyo fanikiwa kulivusha Tiafa letu kutoka katika uchumi huu wa kati. yafuatayo ni maelekezo yenye kusisimua namna ya kuimarisha uchumi wa mtu mmoja mmoja hadi kufikia ngazi ya kitaifa...
  2. jeff mahugi

    Vijana na mitaji; Nyie mnatafutaje hiyo mitaji?

    alaa kumbe tupe trick hizo za betpawa
  3. jeff mahugi

    Camouflagers na informers

    katika hili ile kanuni ya viceversa inaniambia ni wew ndio mlengwa ila hapa umepindisha stori
  4. jeff mahugi

    Vijana na mitaji; Nyie mnatafutaje hiyo mitaji?

    Jambo jambo waungwana. tunaanza ni siku ya tatu inafika sina hela mfukoni kila ninaye mtangazia shida yangu naye ananipa yake kichwa kinaniuma nifanye nini na kuiba ni kitu ambacho sikitaki. aisee mimi kama kijana mpaka sasa nimeshafanya kazi kama muajiriwa katika taasisi fulani maisha yalikuwa...
  5. jeff mahugi

    Elimu yetu na nini kifanyike

    ELIMU KUCHUKIWA Habari wanajamvi natumai hamjambo napenda kuanza kama ifuatavyo wahitimu wengi hivi karibuni wamekua hawafurahishwi na usomi wao pamoja muda mwingi na nguvu nyingi walizo tumia katika kukamilisha masomo hayo ambayo walidhani ndio ufunguo wa maisha yao. hali ambayo imekua ni...
  6. jeff mahugi

    Masharti ya mikopo ya kibiashara yapunguzwe

    ILI KUFIKIA MAENDELEO KITAIFA MASHARTI YA MIKOPO YAPUNGUZWE KATIKA TAASIS ZINAZO JIHUSISHA NA MIKOPO Habari zenu ndugu na jamaa nikiwa kama kijana ninaye itakia mema nchi yangu napenda kutoa ushauri kwa taasis zinazo jihusisha na mikopo na serikali kwa ujumla. vijana wengi wanao toka katika...
  7. jeff mahugi

    Usiyoyajua katika 617 Flat Body

    ZIJUE GARI 6D17 Mwaka Nigari ya mwaka 1998 lakin bado ipo vizuri na inafanya vyema kabisa katika tasnia ya ubebaji mizigo na haijawai kutuangusha katika hilo. Cubic centimeter (cc) Ina 8200 cc kama tipa hizi tani nane Hii inatupa ishara nzuri kuwa gari hii ni economy.Katika utumiaji mafuta...
Back
Top Bottom