Naamini katika honesty, humanity, commitment & care kama uwekezaji mzuri katika mahusiano yenye tija kuelekea ndoa. Na kama sio siwezi kuwa prayer, less commited and rude bali sioni busara yake. Kama kuamini katika falsafa hii ni ushamba kwa tafsiri halisi basi nakiri kweli mimi ni mmoja wa hao...
Bro, hili lilikuwa kipaumbele changu tangu nikiwa nasoma. Naweza kusema nimejitihadi kuboresha ustawi wa wazazi wangu kwa zaidi ya asilimia tisini nikiwa under 28, Nimetoka familia ya mtanzania aliyepata riziki na rasilimali za kunisomesha kwa jembe la mkono, nafahamu shida za wazazi na ndio...
Nilimkuta akiwa ana stress za maisha baada ya kumaliza masomo yake katika chuo fulani. Nilimshika mkono, nikamfuta machozi kisha nikampenda na nikamfundisha kunipenda, nikaishi nae kwa zaidi ya miez kumi. sikuhitaji kumuona akiwa katika msongo wa mawazo bali nilitafiti nikagundua shauku yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.