Recent content by jebre

  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend

    Hahahahahaha ni kweli kabisa
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend

    Hahahahahaha yeye katoa vigezo vyake nqmm kama mwanaume nataka anipe cv yake nikague ninachokitaka au ninachokitafuta kipo kwake ikiwemo kigezo cha elimu nk. Jokes tu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend

    Hahahahahahaha
  4. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend

    Lete CV yako ndo nikuoe
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

    Bila shaka umeshanipata
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo situmii tena kondomu, nitaenda dry hadi mwisho

    Kupanga ni kuchagua
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na huu ubaguzi na udhalilishaji uliofanywa MwanaCHADEMA. Siasa sio uadui

    Ni ushamba wa kiwango cha mwisho kabisa ila ndo siasa za bongo zilivyo
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nape angewazuia BBC kuonesha hiyo picha ya Precision Air iliyozama kila baada ya Dakika 30

    Ni sahihi kabisa ila waandishi wa habari nao wanatafuta habari current lkn hatupaswi kulaumu acha wafanye kazi yao kikubwa ni kuwaombea majeruhi wapate nafuu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nchi inaliwa jamani wanavuna bila huruma hii hapana kuweni na kiasi

    Sahihi kabisa mwamba alikuwa mtu mmoja tu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nchi inaliwa jamani wanavuna bila huruma hii hapana kuweni na kiasi

    Ni sahihi kabisa acha tuendelee kushuhudia wanaojiita waadilifu kwa serikali kumbe ndo wala rushwa na ndo wezi wakubwa wa nchi
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nchi inaliwa jamani wanavuna bila huruma hii hapana kuweni na kiasi

    Kwa kweli hili ni janga zito hapa sijui mwendazake aliwakosea nini hawa jamaa zaidi mimi nahisi aliwabana sana kwenye ulaji ndo mana hata akina kigogo walikuwa wanapiga sana kelele kumbe kigogo alikuwa mmoja kati ya wezi wa nchi hii
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hodi wanajukwaa

    Natumai mko wazima wote, mimi mgeni naomba mnipokee.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji, Itungwe Sheria kila Mtu awe na mti aliopanda

    Nacheki coment tu, baaaye nitasema.
Back
Top Bottom