Recent content by Jean piaget

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada, mtoto mchanga kutapika

    Samora hapana mkuu siyo kucheua ni kutapika
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada, mtoto mchanga kutapika

    Hi jf members, Mtoto wangu ana mwezi 1 na wiki 2, usiku huwa anajisokota na kuanza kulia badae anatapika, hili limemtokea mara kwa mara, lakini usiku amesumbua sana kwa hali hiyo hadi nimeogopa, Mwenye utalaamu na watoto wachanga tusaidiane
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie anataka kujiua

    poa mkuu ntamwambia
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie anataka kujiua

    Hi jf ndugu yangu mpnz wake ni mjamzito, leo ameenda clinic wamemchukua HIV test akambiwa hana maambukizi na pia VDRL (test for syphilis) akakuta, Kwenye card ya clinic kandikiwa PMTCT 2, VDRL ameandkiwa NR(Non Reactive maana ake hana syphilis) , rh factor postive na blood group O, kumbe jamaa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kufahamu kiwango cha mshahara kwa walimu cheti anijuze tafadhari

    Nahic mpnz wako anakuficha mshahara wake, kaulize hazina kuu watakuambia
  6. J

    JamiiForums Tanzania Utapeli mpya huu hapa

    Weka contacts zao hapa ili zisaidie na wengine, wasije wakatapeliwa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tapeli wa Walimu huyu...

    Huyo ni tapeli mkubwa, anaitwa mr. mgona kwa mjibu wa maelezo yake anajifanya yuko ofsi kuu ya utumishi, alitaka kumlaghai dogo langu eti amtoe shule anayofundisha ampeleke halmashaur akafanye kazi, akukuta dogo toto la mjini akatushirikisha kidogo tumkamate bt aliponea chupuchpu NB...
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na pesa hayaji mapenzi

    Naongelea afya ya mwili na cyo uchafu wa mwili, au unahisi mtu akisha miliki pesa hawez kua na tatizo kiafya? Haaahaaa
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na pesa hayaji mapenzi

    Ni kweli hivi vibinti virembo vinatafunwa na vibabu, je vinazingatia afya au vinazingatia cash?
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na pesa hayaji mapenzi

    Bamukunda siyo kujihami its reality, anyway ngonja ngonja niendelee kuserve money for my future plan
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na pesa hayaji mapenzi

    Empty set can't recognized even drawings
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na pesa hayaji mapenzi

    Akili zako ndo zimeishia hapo kufikiri siwez kukulaumu, kumbuka hata philosophers wanatoa theories ndo maana nami nikatoa mtazamo wangu, i'm agreat thinker ndo maana nkatumia jina la cognivist huyu
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na pesa hayaji mapenzi

  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na pesa hayaji mapenzi

    MtiMawazo kama vijizee ndo option pendwa, kwann msipende hata vijizee visivyo na pesa? Hilo ndo swali langu,
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na pesa hayaji mapenzi

    Naona comment nyingi za wadada wa humu wanahalalisha k iwe biashara kama biashara zingine, maana wangejua defination ya biashara wasingethubutu kucomment as they do, mmh! Ila wanajidharirisha
Back
Top Bottom