Recent content by jdsk

  1. jdsk

    Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    Mkuu uliyoandika ni ukweli mtupu,hata Kama watu watakupinga,mi nimeathirika na kuwa na hali ya kusahau sahau,pia nakuwa natokwa na jasho Kali wakati siku za nyuma sikuwa hivyo,punyeto ni mbaya sana,bora kuacha kabisa. Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
  2. jdsk

    Mwanza to Dsm

    Sawa mkuu nimekuelewa,nitawafikishia ujumbe wako.
  3. jdsk

    Mwanza to Dsm

    Panda bus la Ally's,nauli ni sh 50000,kutoka mwanza mpaka dar.
  4. jdsk

    Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

    Madogo home wanaanza kuleta dharau, kwa sababu upo tu home hauna kazi yoyote ya kufanya, ni mwendo wa kugombania mikate ya break fast asubuhi.
  5. jdsk

    Wenye Tigo na Halotel wahini hii ofa ya kupewa GB 10 bure

    Nadhani ni hivyo,jaribu kuweka bando la halotel halafu uidownload hiyo halopesa app itakubari tu.
  6. jdsk

    Wenye Tigo na Halotel wahini hii ofa ya kupewa GB 10 bure

    Kwenye tigo wanazingua,ila halotel ni kweli kabisa mi nimejaribu imekubari,nimepewa dk 20 mitandao yote,dk 20 halotel na mb 2048.
  7. jdsk

    Wenye Tigo na Halotel wahini hii ofa ya kupewa GB 10 bure

    Kama unatumia halotel, nenda play store search halopesa uidownload then itakuelekeza namna ya kuendelea.
  8. jdsk

    Wenye Tigo na Halotel wahini hii ofa ya kupewa GB 10 bure

    Hata Mimi halotel wamenipa gb 2,hii ni kweli kabisa,ahsanteni Sana kwa kutujulisha.
  9. jdsk

    Kuna bata wangapi hapa? Test your Eyes and Count

    Sorry sio 12 ni 13
  10. jdsk

    Ulirudisha au kurudishiwa vitu mlipoachana?

    Aisee[emoji1][emoji1][emoji1]
  11. jdsk

    Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

    Nimejiunga Jana tu,jaribu halotel ndugu yangu Yani utafirahia huduma zao pia mtandao siku hizi upo vizuri kasi nzuri mno.
Back
Top Bottom