Habari wadau, Mimi nimefanikiwa kuanxisha na stationary lakini Kutokana na mazingira na kukosa uzoefu nafikiria Ni vitu gani muhimu n vyenye faida ninavyoweza kuuza hapa
ukiachana n huduma za kawaida Kama copy na printing na lamination au vifaa vya mashuleni Kama daftari na peni
Sent using...
Habari jamani,ninatatizo apa matokeo ya chuo yanachelewa kuwa confirm na nacte ili nipate AVN NUMBER niapply kozi za degree sijui nifanyaje km Kuna njia yoyote msaada jamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.