Recent content by Jcoder

  1. Jcoder

    PreGE2025 2025 ni Vita!

    Ziara ya huko Italy?
  2. Jcoder

    Ronaldo de Lima abatizwa na kuwa Mkristo!

    Umekalili vibaya mnoo Ngoja nikuulize maswali matatu ya ubatizo afu nyie wote mnaofanana mnijibu. Kwanza ni kweli ubatizo ni neno la kigreek lenye maana ya kuzamishwa- kwa kiswahili kisicho fasaha sana. Hata neno pentecoste mnalodhania ni siku ya Roho Mtakatifu maana ake ni siku ya 50. Eti...
  3. Jcoder

    Ronaldo de Lima abatizwa na kuwa Mkristo!

    Ukisema neno sakramenti huyo unayemjibu hawezi kukuelewa😆 Hajui sakrament ni nini na wengi wasiojua wanadhania sakrament ni ule mkate😆
  4. Jcoder

    Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

    Soma kwanza historia ya Biblia Usome ukristo wa mwanzo pale Njoo hadi mwaka around 38-41 wakati Sauli anaongoka
  5. Jcoder

    Simu kukata internet iwapo kwenye Call

    Pole Kwa lugha nyepesi Kwenye simu zetu na simcard zetu sahivi nyingi zina 2G, 3G, 4G na chache sana zina 5G Sasa huduma ya Voice (Hii ya kupiga na kupokea simu kwa sauti inatumia 2G kwa site nyingi na 3G pia ila nyingi sauti/ Voice ipo kwemye 2G) Ilivokuja 3G ilivokuja ilikuja ina Voice...
  6. Jcoder

    DPW Special Thread: Uzi maalumu kuhusu kampuni ya DP World

    Huo sio utafiti ni makisio Tafiti inatakiwa uje na numbers Wapya asilimia x Existing asilimia x
  7. Jcoder

    Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

    MKataba unasema TZ will inform DPW .....inakuaje sharti la kuendeleza bagamoyo port liwe kwa bagamoyo ilihali nchi inatakiwa imjulishe kwanza dpw
  8. Jcoder

    Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

    MKataba ni mbovu inavoonekana. Hilo genge huenda ndilo lilihusika kumshawish mama kuwa mkataba uko poa huku wakijua hakika mkataba ni mbovu, na hilo genge si linajua mama ni mvivu kusoma sio kama JPM mama alitangaza wazi yeye hakai na files yaan yeye ana delegate tu hata ha review huu ni uzembe...
  9. Jcoder

    Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

    Umechemka vibaya mnoo Martin Luther king😀😀😀 Padre Luther aliyeanzisha Lutheran Movement alikua ni Mjeruman tena ni miaka ya around 1500 baada ya Ukristo Huyo Luther King Jr dogo tu ameish miaka ya 1970's juzi tu apo Ameikuta Lutheran ina miaka mingi sana
  10. Jcoder

    Inakuwaje mtu mwenye akili zake timamu anaamini mambo ya Mungu, shetani, uchawi na majini?

    I think umeandika kwa hasira. Pengine umekutana na mtu wa namna hiyo ambao mambo yao yakienda vibaya tu wanasingizia uchawi au kumrudia Mungu. Hao watu wapo ila wapo pia wenye logic thinking na ni watu wa Imani sana. Faith and Reason. Kwa title yako nilidhan umefanya tafiti katika pande zote...
Back
Top Bottom