#Ni kweli Maisha hayajawahi kuwa marahisi ila kuna sehemu unaweza kuwa unazidisha ugumu wewe mwenyewe.
“Pale ambapo wewe ni Mjinga Ndipo Wengine Wanakufaidi”
#Ni kweli huwezi kujua kila kitu na ndio maana kwa vile vitu ambavyo huvijui lazima ulipie gharama za kujua. Bahati mbaya sana wengi...
#HEKIMA YA LEO : Ushindi Mdogo ni Ushindi Mkubwa.
Usidharau Kile kidogo unachokifanya. Daudi alijua kwamba anaweza kumpiga Goliath baada ya kutazama kule alipokuwa. Kujaribu kwake kupambana na dubu kulimpa nguvu kwamba hata Goliath si kitu mbele yake.
Ushindi mdogo mdogo unaopata kila siku...
Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi.
Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote.
“NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA.
MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU...
Habari Rafiki,
Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya maisha yetu yawe bora zaidi.
Jisemeshe maneno haya kabla hujatoka kwenda kufanya chochote.
“NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA.
MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU...
Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi.
Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote.
“NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA.
MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU...
Mtazamo ni vile ambavyo mtu amejengewa au amejijengea maana fulani au imani fulani juu ya jambo fulani. Mtazamo waweza kutengenezwa kutokana na mazingira unayoishi vitu unavyosoma, kutazama na kufuatilia. Mtazamo pia unaweza kutengenezwa na aina ya watu unaojihusisha nao kila siku.
Mfano unakaa...
PAST IS ALWAYS PAST FORGET ABOUT IT.
By Mushi Jacob.
Kitu chochote kilichopita kimeshapita. Kiwe kizuri au kibaya kimeshapita.
Kwanini nasema hivyo? Watu wanajikuta wanarudi nyuma Kwasababu ya mambo yaliyopita. Inawezekana mambo haya ni mazuri sana pia yakakurudisha nyuma.
Wana wa Israel...
Usisubiri mtu afe ndio umpost mtandaoni na kuandika Rest In Peace my lovely Friend. [emoji22]
Wakati yupo hai ndio wakati sahihi wa kuonyesha ni your lovely friend kwake na kwa wengine. [emoji53]
Usikimbilie kumlaumu, kukosoa, kutukana mtu kwa kosa lolote alilolifanya wakati hujawahi kumsifia...
Kitu cha Kwanza na Muhimu Kukijua wewe Kama Mwanaume.
Share na wenzako wajifunze.
Bonyeza hapa kusoma...... Kitu cha kwanza na Muhimu kukijua wewe Kama Mwanaume - Jacob Mushi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.