Recent content by jbushjunior

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tamthlia zilizotafsiriwa zinamaliza ubora wa tamthilia zetu

    Ni muda sasa imekuwa nilitafakari sana kuhusu hizi tamthilia za kihindi na za kichina zilizotafsiriwa kwa kiswahili. Kwakweli zimepa mashabiki wengi sana hapa nchini kwetu. Tamthilia hizi zinatazamwa na watu wengi na zimekuwa zikioneshwa katika chanel nyingi sana hapa bongo. Wasiwasi wangu ni...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vitu Vinadondoka? (Newton vs Einstein)

    Sababu ni gravitation due to garavity
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nauliza kwamba ina maanisha nini mtoto kuzaliwa akiwa na alama ya mwezi mkononi?

    Nauliza kwamba ina maanisha nini mtoto kuzaliwa akiwa na alama ya mwezi mkononi? Alama ya Mwezi inajulijana na maranyingi hata kwenye misikiti mingi huwa kuwekwa alama ya mwezi na nyota. Naomba kuelimishwa maana ya alama ya mwezi kwenye mkono wa mtoto aliyezaliwa.
Back
Top Bottom