Recent content by jblus

  1. jblus

    Msaada wa dawa kwa anaejua!

    Hata mm naungana na ww! Hiyo ni bawasiri na nilipona kama ww kupitia uzi wa jamaa flani aliwahi kuandika hum hum jf. Siukumbuki vzr huo uzi ila akiutafuta ataupata, maelezo ya uzi nayakumbuka na nimekua nikishauri watu wengi tu kutumia hiyo dawa na wanapona. Unaweza ukateseka sana alafu ukaja...
  2. jblus

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tuliokua tunafatilia sana hii simlizi nadhani ni wakati wa kukubali kwamba mwamba katutelekeza!
  3. jblus

    Simu ipi yenye camera nzuri?

    kaka watu wana vichwa vigum sana😀
  4. jblus

    Simu ipi yenye camera nzuri?

    nitatafuta mda mzuri leo nifafanue vzr mkuu
  5. jblus

    Simu ipi yenye camera nzuri?

    asante kwa maelezo mkuu
  6. jblus

    Simu ipi yenye camera nzuri?

    ww ni last born eeh?
  7. jblus

    Simu ipi yenye camera nzuri?

    nimekukaripia?
  8. jblus

    Simu ipi yenye camera nzuri?

    asante kwa ufafanuz
  9. jblus

    Simu ipi yenye camera nzuri?

    umeenda nje ya maelezo, unaposema niweke pembeni bajeti inamaanisha ww ndo unanipangia bajeti yangu, mm nimekupa bajeti yangu mkuu na nikakuomba unapochangia mawazo changia ukitazama bajeti yangu pia. Anyway asante kwa mchango wako
  10. jblus

    Simu ipi yenye camera nzuri?

    Mambo vipi wadau! Naomba mchango wenu kimawazo kuhusu simu yenye camera nzuri kwa ajili ya matumizi ya kupigia picha na video za kupost kwenye page yangu ya biashara ya instagram, tiktok na mitandao mingine ya kijamii. Ni Biashara ya salon ya kike, na kama mnavojua biashsra hii picha zina...
  11. jblus

    Malengo ya mwaka 2026

    Kwa juhudi na kumuomba Mungu, nina imani mambo haya nitayatimiza mwaka huu 2026. Jua liwake mvua inyeshe inabid niyatimize kwa namna yoyote... 1: Kuimarika kiroho, Natamani kuwa karibu na Mungu wangu zaid mwaka huu kuliko kuliko chchte. Amekua akinionekania kwenye mambo mengi sana hivo...
  12. jblus

    Msaada kwa anayeifahamu Zanzuli Secondary

    Nadhani hujasoma vzr mkuu nilichoandika. Shule aliochaguliwa yeye ni ZANZULI sio ZUNZULI unayoisema ww. Na wameonyesha ipo wilaya ya Shinyanga mjini (Shinyanga DC) sio Solwa
  13. jblus

    Msaada kwa anayeifahamu Zanzuli Secondary

    mkuu ukiclick kwenye hiyo shule hairespond, tofauti na shule nyingine. Ndio maana nikaja huku kuona kama kuna mtu anaifaham
Back
Top Bottom