Recent content by jayspol malika

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kagera unakuwaje masikini wa kutupwa na una kila kitu?

    Mwanza sio kipaumbele , ingekuwa kipaumbele ingekuwa jiji bora kabisa duniani kielimu, miundombinu na afya, na hakuna mtu angeenda Dar kutafuta elimu, Dodoma, Dar na Arusha ndio vipaumbele licha ya Mwanza kukua kwa kasi zaidi baada ya Dar es salaam.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Elimu ya vyuo vikuu Mwanza

    Hakuna wivu hapo zaidi ya mikoa yenye potential na idadi ya watu + miundombinu iwe na vyuo vya serikali vya kimataifa kuleta maendeleo halisi ya watu wake
  3. J

    JamiiForums Tanzania Elimu ya vyuo vikuu Mwanza

    Nafikiri hujasoma uzi vizuri , umeenda kwenye ukabila badala ya kujua malengo ya uzi huu Ni kujengwa chuo kingine kikuu ukanda wa ziwa
  4. J

    JamiiForums Tanzania Elimu ya vyuo vikuu Mwanza

    Jiji la Mwanza, la pili kwa ukubwa Tanzania (The second largest City in Tanzania), sifa nyingine ni jiji lililo katikati Kati ya majiji ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, hapa namaanisha Nairobi, Kampala, Kigali, Bujumbura. Kinshasa pote ni karibu kufika jijini Mwanza. ELIMU YA JUU Katika elimu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ijue Mwanza jiji

    Hapo Ilemela ipo omitted soma vizuri uzi
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ijue Mwanza jiji

    Kwa wengi msioifahamu Mwanza jiji ( Mwanza city) au The Rock City , ni jiji la pili Tanzania baada ya jiji la Dar es salaam. Jiji hili lilipewa hadhi ya kuwa Manispaa mwaka 1978 na mwaka 2002 tarehe 07 mwezi wa 07 likapandishwa hadhi ya kuwa jiji la Mwanza , lenye wilaya mbili za Ilemela na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania NACTE: IFM, CBE na Arusha Tech siyo Vyuo Vikuu bali ni Taasisi za Elimu

    Issue Ni accreditation tu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Habari wataalam wa Mambo naomba mwenye kujua faida za kusoma course ya Postgraduate diploma in Technical and Vocational education teacher ya Open

    Mimi Ni mwanafunzi nasomba PGD in Technical and Vocational education teacher ya Open University ! Je hi Ni PGD in education ipi ni bora zaidi?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nilidisco chuo, naweza kuomba tena mkopo?

    Sasa mbona hamjamsaidia?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kuipandisha hadhi manispaa ya Moshi kuwa jiji wanoga

    Moshi bado mji Mdogo sana,wapewe wageni kuhodhi maeneo ndo maendeleo tutayaona na ukuaji wa mji pia.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujiunga na chuo cha Pasiansi wildlife Mwanza zimetoka?

    Angalia kwenye website yao..pia kina gharama kubwa na geography na hesabu na English use umefanya vizuri
  12. J

    JamiiForums Tanzania GeoPoll yatoa ripoti inayoonesha usikilizwaji na utazamwaji wa Redio na Tv nchini

    Mimi naona Radio Maria ndio inasikilizwa zaidi
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Most dynamic cities in the world, Nairobi makes it to top 10

    Hiyo ni dar ya 2012 tuletee ya 2017
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Most dynamic cities in the world, Nairobi makes it to top 10

    Nairobi sasa inazidiwa na Dar
Back
Top Bottom