Recent content by Jaylee

  1. J

    Sugu azidi kutikisa Marekani, Atafuta uwekezaji kwenye Afya na Utalii

    Kaniangusha tu kidogo hapo Mhe Sugu kwenye uvaaji. Hicho kifungo cha chini kwenye koti huwa hakifungwagi. Au angeacha vyote bila kuvifunga. Anyway hongera zake sana!
  2. J

    Bar Inapangishwa Dar

    Bar maarufu inapangishwa Dar ipo kando ya barabara kubwa (Main Road), jirani sana na Azam Complex, Chamazi. Bar ina majiko makubwa ya kisasa mawili, lodge, parking kubwa, ukumbi wa wazi na huduma zote muhimu. Kwa mawasiliano piga namba 0753300097 Bei ni maelewano.
  3. J

    Ile hela tuna kwenye namba hii

    Wale wa tuma kwenye namba hii sasa wameibuka na nguvu mpya. Mimi napokea kwa wastani message moja kila siku. Huu ni ushahidi kuwa TCRA na Waziri mwenye dhamana wameshindwa kabisa kulidhibiti hili tatizo. Mimi nashauri kuwa iwapo hatuna uwezo ndani ya nchi yetu basi tuombe msaada kutoka nje...
  4. J

    TANZIA RIP Major General Profesa Yardon Kohi

    Major General na Brigadier General nani ni mkubwa kwa mwenzake. Miaka ya 2009/2010 nilipata kushiriki seminar moja pale COSTECH wakati huo ikiongozwa na Kohi. Nakumbuka alikuwa anaitwa kwa cheo cha Brigadier General, Professor Yadon Kohi. PhD. Au kumbukumbu yangu ina walakini?
  5. J

    Phone4Sale Infinix hot 11 ya GB 128

    Mbona hujataja bei?
  6. J

    Tigopesa na maboresho ya kila siku

    Ni nini kinawafanya Tigo kuzima mfumo wao wa TigoPesa kila uchao wakidai kufanya maboresho. Nini kinasababisha maboresho yasiyoisha takriban kila wiki sasa ambayo washindani wao hawalazimiki kuyafanya? Kwa nini wao tu? Hii nayo ni keto inayohitaji maelezo.
  7. J

    Je, ukivamiwa na nyuki ufanyeje kujiokoa?

    Mimi ni mhanga wa nyuki miaka kama 7 iliyopita. Nikipata nafasi nzuri nita-narrate mkasa mzima najua wengi watapata elimu. Kifupi niliponea chupuchupu ila ni baada ya matibabu ya miezi kama minne baada ya juhudi kubwa sana ya wataalamu wa afya wa Regency Hospital. Ninachojua nyuki wana kasi...
  8. J

    Nakereka sana kusikia na kuona Rais Samia akiitwa au kuandikwa Dr. Samia

    Raid wa Kenya, William Samoei Ruto ana BSc, MSc na PhD lakini hajiiti Doctor Ruto. In fact Marais wengi wa sasa na waliopita wa nchi zilizoendelea akiwemo Barack Obama wana PhD lakini hawajiiti madokta
  9. J

    Kupiga Honi ovyo au maeneo ya Shule, Mahakamani na Hospitali ni kosa kisheria

    Ukiwa Mtwara mjini inakubidi uzoee kelele za honi za bodaboda kwani wanazipiga muda wote kuitia wateja. Ni kero kubwa sana ambayo sijaiona katika mji mwingine wowote hapa nchini. Nadhani hata askari Traffic wanaona ni jambo la kawaida kwa sababu hawawakanyi wala kuwachukulia hatua.
  10. J

    Matumizi ya SMS na Simu yanapungua, wamejua na wanaongeza bei za data

    Maswali mawili kwa mtoa mada:- 1) Hizo units ni Idadi ya calls, au duration, sekunde, dakika au nini - hebu toa ufafanuzi tupate kuelewa zaidi. 2) Hizo ni takwimu ni za hadi kufikia Novemba mwaka jana, je hali ikoje kwa sasa, kwa mfano hadi kufikia Oktoba mwaka huu?
  11. J

    Malipo ya pensheni mwezi August 2022 - PSSSF

    Imekuwa kama kawaida malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa mfuko wa PSSSF yanakuwa tayari kila tarehe 24 ya mwezi. Mfuko pia unatuma ujumbe(sms) unaompa taarifa mstaafu kuwa malipo hayo yameshatumwa benki. Hii ni tofauti na mwezi huu wa Agosti ambapo malipo hayafanyika na taarifa iliyozoeleka...
  12. J

    Kwako Waziri wa Fedha: Dunia nzima malipo ya Pensheni hayakatwi kodi

    Kama kuna maajabu basi yapo Tanzania. Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo wastaafu bado wanakatwa tozo (jina lingine la kodi) Wastaafu hawa walipokuwa kwenye ajira walishakatwa kodi kupitia mfumo wa PAYE. Hiki wanachokipata sasa kupitia pensheni hakipaswi kuwa na makato ya aina yoyote kwa...
  13. J

    Mo Energy: Kinywaji pendwa cha vijana

    Mada nyingi zimeshatolewa hapa jukwaani zikielezea hatari za utumiaji wa kupindukia wa vinywaji vya kusisimua, kwa lugha ya kigeni “Energy Drinks” hususan kwa vijana. Leo ningependa tujadili athari kubwa inayosababishwa na chupa zilizotumika za kinywaji hiki kutokana na kuzagaa ovyo kwenye...
  14. J

    Wasambaza picha za ngono, wanaojiuza mitandaoni, waliojifanya mawakala wa Freemason wakamatwa

    Hawa jamaa bado wapo sana, Leo kwenye namba yangu ya Airtel nimepata ujumbe kutoka namba +255 747 994 503 .. ukitangaza Tiba ya asili, Mali, Uzazi, Pete na Zindiko,, kurudisha mke au mume no. 0678 930 224, malipo baada ya mafanikio... Hivi serikali na idara zake zote imeshindwa kabisa...
  15. J

    Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

    Mimi sipendi kusikiliza hotuba zozote zinazozidi dakika 5 na hasa zikiwa za wanasiasa. Sipendi hotuba yoyote inayoanza na "... Awali ya yote..." Sipendi michango yote ya wabunge kule bungeni inayoanza na mlolongo wa shukrani Sipendi kitu chochote kinachoitwa kongamano liwe la dini, siasa na...
Back
Top Bottom