Kwako Waziri wa Fedha: Dunia nzima malipo ya Pensheni hayakatwi kodi

Jaylee

Member
Apr 15, 2009
64
93
Kama kuna maajabu basi yapo Tanzania.

Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo wastaafu bado wanakatwa tozo (jina lingine la kodi) Wastaafu hawa walipokuwa kwenye ajira walishakatwa kodi kupitia mfumo wa PAYE. Hiki wanachokipata sasa kupitia pensheni hakipaswi kuwa na makato ya aina yoyote kwa sababu tayari yalishalipiwa kodi.

Hizi tozo zitawachonganisha wastaafu na serikali yao
 
Kodi inakatwa tena, duh

Nasikia Airtel hakuna tozo, wajaribu kutolea Airtel money.
 
Waliwahi weka kodi kwenye transit goods baadae walipoenda shule kozi fupi fupi wakagundua wamechemka maana Wazambia na Wakongo walihama bandari yetu wakaifuta hii Nchi ni kiboko aisee...
 
Kama kuna maajabu basi yapo Tanzania.

Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo wastaafu bado wanakatwa tozo (jina lingine la kodi) Wastaafu hawa walipokuwa kwenye ajira walishakatwa kodi kupitia mfumo wa PAYE. Hiki wanachokipata sasa kupitia pensheni hakipaswi kuwa na makato ya aina yoyote kwa sababu tayari yalishalipiwa kodi.

Hizi tozo zitawachonganisha wastaafu na serikali yao
This one sounds kama ndivyo inafanyika.
 
Back
Top Bottom