Recent content by JayKisoti

  1. JayKisoti

    Nani Mchawi wa Tumbo la Gasi Mtaani....

    Hili tatizo limekuwa kero kwa wanajamii wengi, na dawa yake imekuwa taabu kuijua. Wengi wamezunguka mahospitalini hadi kwa waganga lakini hawakufanikiwa kupata dawa yake. Ukiwa kama mwanaharakati wa pro-life naomba maoni yako..
  2. JayKisoti

    Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

    My Best Collection, naona mkali umeamua kuupandisha mzuka wangu wa zamani kipindi hicho daaaah usipime, hizi tamthilia nilikuwa sizimiss even a single day; 1. PASSION 2. LA MUJER DA MIVIDA Don't touch dat diary, hata zirudiwe mara ngapi huzichoki...!
  3. JayKisoti

    Chuo cha Dodoma (UDOM) Kipo Kisiasa zaidi

    Acha uongo....be frank, m nimesoma pale waadhili sio competative hata kidogo!!
  4. JayKisoti

    Wizara ya Afya wanazingua matangazo yao...

    Yaani kwenye Internet inaonyesha dhahiri shahiri kwamba watu wanaruhusiwa kupeleka maombi ya kazi, hadi deadline wameweka kwenye website ya zoom na ya kwao... cha kushangaza nafika wizarani naambiwa hakuna kitu kama hicho, yaani bado saaana mpaka wabandike kwenye ubao wa matangazo kwamba...
  5. JayKisoti

    Kufuru katika msiba wa bilionea Sambeke Arusha

    Yes, dat is the point I was waiting for...Asilimia kubwa ya Matajiri wa Kibongo ni wa Binafsi mno, hawana mpango wa kuwanufaisha wengine kupitia mgongo wao...unless uwe mtu wake wa karibu saaaaaaana! Hata ukimchunguza huyo tajiri aliyekufa utaona its a true fact!
  6. JayKisoti

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Hiyo inahusu saaaaaaaana!, yaan hapa nlpo kushnei mshahara wangu wote umekwisha hakuna nilichokifanya duuuuuh! Hawa wagwenoooooooooooooooooooo noooooooooooooooooooomaaaaaaaah!!:dizzy:
Back
Top Bottom