Recent content by jayjay800

  1. J

    Mangula, TISS mmelibariki genge hili la Lowassa kugawa kwa wajumbe mamilioni ya Xmas na Mwaka Mpya?

    Siasa hizi za maji taka hqzitawasaidia tujikite kulisaidia taifa kuondokana na kashfa hzi
  2. J

    Kikwete na Lowassa kunani tena?

    Picha ni ya jana Mungu hugeuza mabaya kuwa Baraka. Wanaomtakia Edo mabaya wataumbuka
  3. J

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Lowassa
  4. J

    Renatus Mkinga: Lowassa amenifuata na dola 5,200 na Rav4 mpya

    Hovyo kabisa na habr zake Lazma ziwe za hovyo siasa za namna hii zimepitwa na wakat Msituondoe ktk mjadala wa IpTl
  5. J

    Dr. Slaa anasa Mawasiliano ya siri kuhusu utafiti uliofanywa na TWAWEZA

    Hata wakat wa kupiga kura watapiga kwa mtu wanayemfahamu. Hata hivyo tafiti hupingwa kwa tafiti na sio porojo. Na ww fanya yako
  6. J

    Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

    Katika hali ya kushangaza, matokeo ya utafiti wa TWAWEZA uliokusanya maoni ya wananchi yameonesha kuwa waziri mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda maarufu mtoto wa mkulima amewapiku makada wengi wa CCM walioanza mapema mbio za urais. Kwa mujibu wa TWAWEZA, kama uchaguzi ungefanyika leo Pinda...
  7. J

    Siri za Lowassa zavuja Dodoma na Arusha

    Mbona sioni siri hapa. Kikao kilihudhuriwa na nani. Upuuzi mtupu
  8. J

    Diallo una usafi gani wa kumsakama Edward Lowassa?

    Ukiona wanakujadili sana ujue wanakukubali. Swala kuacha kujadili kwa hoja maanza vihoja ni ishara ya kuishiwa mbinu
  9. J

    Prof. Mark Mwandosya Amlipua Apson Mwang'onda Bungeni

    Malaika huo ndio ukweli wastaafu ni wengi ajabu anatajwa mmoja
  10. J

    Prof. Mark Mwandosya Amlipua Apson Mwang'onda Bungeni

    Watashindana lakn hawatashinda.mtafanya kila hula.lkn mwisho wake ni aibu
  11. J

    Timu ya kampeni ya Lowassa hii hapa

    Urafik wa watu na uhusiano msipende kugeuza kuwa jukwaa la kisiasa.hata hivyo juhudi hizi zenu za kuchafuana zimeendelea lengo ni kuwa kujenga dhana potofu kwamba edward ameanza kampeni na kujitengenezea kundi lake kabla ya wakati.lkn ukwel ni kwamba ni upofu wa fikra na uoga kujenga mazingira...
  12. J

    Lowassa amepuuza Amri ya CCM kwa kufanya kikao na wajumbe wa Kanda ya Ziwa na Zanzibar

    Sasa km unajua yupo nje nsg lizaboni.atakutanaje na wajumbe zbar.au anaweza kuwa nje na zbar kwa wakati huo huo.upuuzi mwingine sio lazima kujadili
  13. J

    Lowassa amepuuza Amri ya CCM kwa kufanya kikao na wajumbe wa Kanda ya Ziwa na Zanzibar

    Crashwise Ukiwa mwongo basi jifunze kuwa na kimbukumbu pia.ili angalau watu wakuelewe kidogo na hii ndio shida ya kutumika .naamini ungekuwa unaadika haya kwa utashi wako basi angalau ungejipa walau muda mdogo tu ya kutafuta ukweli wa stori yenyewe lkn kwa kuwa unatimiza tu yale unayo ambiwa...
Back
Top Bottom