Recent content by Jayfee

  1. Jayfee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

    Umempa nani ashinde mkuu?
  2. Jayfee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Dah Technologia
  3. Jayfee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Asee..
  4. Jayfee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Asee.. Muda ni hakimu mzuri
  5. Jayfee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MOTOROLA G84 Ram12 Rom 256

    Simu siyo mbaya kwa budget iyo, sema kama mtu wa magemu itakusumbua kidogo Kioo ni oled sio kibaya pia ina 30w charge
  6. Jayfee

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa kwenye biashara yangu ya huduma za kifedha (Uwakala)

    Mkuu maeneo ayo amna mtu aliye funga CCTV camera? I mean kama hao jamaa walikatiza sehemu yenye camera ni rahisi uyo binti kuwatambua akionyeshw video au picha zao
  7. Jayfee

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kuagiza bidhaa mtandaoni

    Iyo kuagiza mkuu inawezekan?
  8. Jayfee

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kuagiza bidhaa mtandaoni

    I just found this on AliExpress: TZS236,328.87 | Super AMOLED Black 6.55 Inch For Oppo Realme GT Explorer Master RMX3366 LCD Display Screen Touch Digitizer Assembly Replacement https://a.aliexpress.com/_EIppeAc
  9. Jayfee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ngoja nikilipie nione nitadumu nacho kwa mda gani..
  10. Jayfee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wakuu iki kifurushi ndo unlimited au ndo napewa GB 246?
  11. Jayfee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu msaada kuhusu hii simu yangu

    Iyo ni protector ndo imepasuka ivyo
  12. Jayfee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu msaada kuhusu hii simu yangu

    Sio used boss nilinunua china ikiwa mpya..
  13. Jayfee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu msaada kuhusu hii simu yangu

    Simu yangu aina ya realme GT master explorer imechora green line..sasa nilichek mtandaoni nikaona wanasema ni restore lkn nimefanya ivyo lkn tatzo liko pale pale, msaada wadau wenye ujuzi na hii issue
  14. Jayfee

    JamiiForums Tanzania Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

    Biblia inajikamilisha kuanzia agano la kale na jipya , ndo maana kitabu cha Isaya kimeongelea maisha ya Yesu Kristo before Yesu ajazaliwa kwa uweza wa Roho mtakatifu.
  15. Jayfee

    JamiiForums Tanzania Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

    ‭Wagalatia 4:30 SRUV‬ [30] Lakini lasemaje andiko? Mfukuze mjakazi na mwanawe, kwa maana mwana wa mjakazi hatarithi kabisa pamoja na mwana wa muungwana.
Back
Top Bottom