Miaka kadhaa nyuma wahalifu wa mitandaoni walilenga sana Computers aina ya desktop na laptops kwani shughuli nyingi za kifedha zilizohusisha internet zilitegemea sana vifaa hivyo.
Lakini kwa sasa hivi wamelenga sana watumiaji smartphone na kwa mujibu wa mtandao wa Statista watu zaidi ya Bilion...
Naomba kujua kwa Dar ni maduka gani naweza kupata Vipodozi aina zote kwa bei ya jumla.? Ikiwezekana naomba majina ya maduka na eneo liliopo & details zozote unazoona zinaweza kunisaidia kama uzi uavyojieleza.
Nawasilisha kwenu [emoji120][emoji120]
Me natumia gallax A50 tokamwaka jana mwez wa saba cjawahi kukutano na hayo matatzo.. natumia latest Android version na huwa naupdate security patch kila zinapotoka unachotakiwa kufanya ni ku Update System software alaf urudi utupe majibu kma bado inasumbua..
Jaman kwa mweny kujua juu ya biashara ya kununua bia company ya BALIMI na kuuza huwa ikoje na unapataje mzigo na kwa bei gan msaada plz kwa mweny kujua
Hivi jamaa wa Nyanza bottles sifa zipi wanahitaj kwa mtu anayetaka kusupply soda as an agent for instance am in Serengeti and i wana be an agent then what i got to prepare also i need to knw much maximum and minimum capital or how many crates of soda ambazo wanahitaji for me to buy #AnybodyWhoKnows
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.