Recent content by Jay Mwanaharakati

  1. J

    Mh.Rais kuyakataa matatizo ya wananchi wako sio suluhisho la matatizo hayo.

    Kauli ya mkuu wa kaya naifananisha na mila na desturi za wamasai, wakizaa albino au mlemavu wanamuua mapema ili kukwepa aibu.
  2. J

    Mtumbuizaji kupewa bendera ya Taifa!

    Kwenye soka na riadha tumechemka sasa kuna ubaya gani akipewa bendera diamond akatuwakilishe katika nyanja ya burudani.
  3. J

    Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

    Muda mwingi unatumiwa kwa kuwasema wapinzani na kukanusha habari za ukweli ambazo zingeumiwa vizuri zingezuia maafa zaidi kutokea.
Back
Top Bottom