Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, ameliagiza Jeshi la Polisi kumuachia huru Msanii Ney wa Mitego aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi hilo.
Waziri Mwakyembe ameishauri pia BASATA kuondoa zuio lake dhidi ya wimbo huo, na badala yake uendelee kupigwa tu kama nyimbo...
KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI
*1. Tamaa ya utajiri
fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza nyota zao kwa kukataa wengi wenye kipato cha kawaida na kujirahisisha kwa wenye nazo ambao kwa bahati...
Aliyekuwa Waziri wa Habari, Nape Nnauye amezungumza na Waandishi wa habari akiwa juu ya gari lake leo maeneo ya St. Peter Osterbay Dar es salaam ikiwa ni saa chache kabla ya taarifa kutoka IKULU kutangaza kwamba uteuzi wake umetenguliwa.
Hali hiyo imetokana na Jeshi la Polisi kuuzuia mkutano...
Nanukuuu "Wanasamba habari Nimekamatwa! Niko njiani nakwenda Protea, Niko salama nimetoka Arusha na ndege huu! Nashauri WAACHE UONGO, WATULIE!
Kutoka kwenye Ukurasa wake wa tweeter @Nnauye_Nape
Kwa Hali hii inayoendelea Kwa sisi wananchi wa chini hatuna kauli tena, kama viongozi tu ndo ivo.....Sisi Kwa hii hali ni Kununua Malimao na ndimu tule kwa wingi Ili kupunguza tu Kichefuchefu[emoji30][emoji97]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.