Katika ukurasa wake wa Twiiter, Nape Moses Nnauye amefananisha Chama cha Siasa na ITIKADI ambapo ameelezea kwa kusema kuwa ITIKADI ni IMANI. Hivyo, haamini katika kubadili IMANI kienyeji.
Amemalizia kwa kusema atashughulikia mapungufu akiwa ndani ya chama chake na sio akiwa nje. Hii inamaanisha...
Katika Ukurasa wake wa Twitter, PLO Lumumba ambaye amejiita Mwanasheria wa mpito (a seasoned lawyer), ametabili kuwa Uchaguzi wa Rais utarudiwa nchini Kenya.
Lumumba amesema kuwa Mahakama Kuu nchini Kenya itatoa uamuzi / ukumu ya kurudia Uchanguzi kwa nafasi ya Urais ambayo inasemekana mgombea...
Mbunge wa Kigoma Ujiji, Mhe. Zitto Kabwe amesema Chama cha ACT - Wazalendo katika Manispaa kinachoongoza ya Kigoma Ujiji, kimeanza kuwasomesha wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 bure.
Amefafanua kuwa wanafunzi wanaosomeshwa bure ni wale waliosoma Elimu yao ya kidato cha kwanza mpaka cha nne katika...
Kumbe wewe siasa inakuchanganya, hujui hii ni njia moja wapo ya kuutangaza huo Mkutano?
Na kupiti hii, kuna watu hapa sasa wamefahamu kuwa kesho Zitto atafanya Mkutano na waliopo karibu wataenda.
Ahsante!
Ujinga ni pale unaposhindwa kuelewa kitu.
Hakuna sehemu niliposema Mikutano ndani ya jimbo kwa Mbunge husika imezuwiwa, hiyo maana ni yako.
Unaposoma kumbuka kubaini aina ya sentensi kwani sentensi zingine huwa ni tungo tata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.