Recent content by JAXPAROW95

  1. JAXPAROW95

    Internet Sharing Point to Point

    Habari wadau, nahitaji msaada wa mtu mwenye utaalamu/ufahamu wa kufunga internet point to point, kwa maana kwamba Nina Fiber internet access kwenye ofisi yangu moja point A(Tandale Chama) na ofisi ya pili Iko Point B(Sinza Mugabe) kama 3KM hvi. Nataka kushare hii fiber connection kwenye ofisi...
  2. JAXPAROW95

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Kuna hawa jamaa wanaitwa network solution nmeonaga bei zao nzuri na wanakuja kufunga antenna kwako ila sijawahi kutumia. Nan amewah ?
  3. JAXPAROW95

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Kuna hawa jamaa wanaitwa network solution nmeonaga bei zao nzuri na wanakuja kufunga antenna kwako ila sijawahi kutumia. Nan amewah ?
  4. JAXPAROW95

    Wanufaika wa Bodi ya Mikopo mbona hamumshukuru Rais Suluhu?

    wew hayo mabadiliko umeyaona wapi ?
  5. JAXPAROW95

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Mimi nimejaribu tumia la Azam Eutelsat 7C kwenye smart tv (dtv) nmepata channels zaid ya 40 ingawa nyingi ni za dini na kiarabu, movie nimepata chache mfano lemon tv naona inaonesha movies muda wote.
  6. JAXPAROW95

    Adruino

    kabisa mkuu kwa urahisi ungeweza kuchukua ic inayotumika kwenye arduino ambayo ni atmega328 na vifaa vingine kama ir receiver kwa ajili ya kupokea mawimbi ya remote yako, transistors ukazitumia kama switch zako na vinginevyo ili kupata hyo circuit.
  7. JAXPAROW95

    Kuweka IPTV Katika Receiver

    Mkuu naona hizi zote hazifany kazi sasahv vp unazo m3u updated nsaidie kuzi drop pm
  8. JAXPAROW95

    Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

    Naomba nku pm namba bhasi uniunge ingawa hzo info zitakuwa hazionekani tena kama telegram
  9. JAXPAROW95

    Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

    Mkuu hizi contents kuna site una post au ni hapahapa maana nazisubiri tangu mwaka jana sioni kitu mpaka leo
  10. JAXPAROW95

    Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa

    Tunasubiri link ya huo uzi mkuu
  11. JAXPAROW95

    Kwa watumiaji wa Paypal na online purchasers

    Aisee hapo kwenye penalty wameshakula pesa nadhan inafika laki ingawa wanadanganyaga hawana makato lakin ukichukua statement utakuta kuna makato yasiyoeleweka
  12. JAXPAROW95

    Music system kujizima nkiongeza sauti

    Nashukuru wote kwa msaada , nme solder upya linear regulator(L7812cv) ilikuwa imelegea nmebadili na input auxiliary cable , now mdundo kama kawa Long live the Internet, long live JamiiForum
  13. JAXPAROW95

    Music system kujizima nkiongeza sauti

    Mimi siyo fundi redio hata kidogo ila nina ujuzi na basic electronics ambayo nmesoma darasani kama msingi wa engineering course yoyote ile
Back
Top Bottom