Recent content by jaxonjohnson

  1. jaxonjohnson

    JamiiForums Tanzania Naomba anayefahamu wapi wanatengeneza vifungashio anijulishe

    Hapo wanapouza bei hiyo(pc50 kwa 4500) ni wapi naomba unielekeze
  2. jaxonjohnson

    JamiiForums Tanzania Msaada na Ushauri kuhusu Vifungashio vya Dagaa

    Hata mimi nawasubiri wataalamu waje wanipe bei elekezi ya hivi vifungashio(hasa bei za jumla au za viwandani),maana nafahamu kwa bei ya rejareja pale kariakoo ni kati ya shs 200-275 kutegemeana na duka unalonunulia,nakumbuka uvivu wangu wa kuzungukia maduka tofauti ulinicost siku ya kwanza...
  3. jaxonjohnson

  4. jaxonjohnson

    JamiiForums Tanzania Naomba anayefahamu wapi wanatengeneza vifungashio anijulishe

    Jamani naomba anaefahamu wapi wanatengeneza vifungashio kama hivi anielekeze,namaanisha kiwandani kwa anaefahamu please! Maana kununua kwa rejareja kariakoo inaumiza kwa kweli,naomba kuwasilisha
  5. jaxonjohnson

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga,nahitaji kufika sea cliff ila sipajui...

    Jaman kuuliza si ujinga,nahitaji kufika sea cliff ila sipajui,nipo kibaha naomba kama kuna mtu anaweza nipa direction nafikaje
  6. jaxonjohnson

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kisasa

    Jamani msaada kwa anaejua bei ya mayai ya kisasa naomba anisaidie,nijue bei na yanapopatikana,nipo Pugu kajiungeni
  7. jaxonjohnson

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa Mchele kutoka mpanda

    Nipo Dar naupataje,nimeku dm mkuu
  8. jaxonjohnson

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua bei ya mchele na chenga mahali alipo

    Supa bei gani mkuu,nahisi tunaweza fanya biashara
  9. jaxonjohnson

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua bei ya mchele na chenga mahali alipo

    Supa bei gani mkuu,nahisi tunaweza fanya biashara
  10. jaxonjohnson

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua bei ya mchele na chenga mahali alipo

    Nawezaje kuupata mkuu,nipo Dar
  11. jaxonjohnson

    JamiiForums Tanzania Bei ya gunia la mpunga Mbarali

    Aisee naomba tutafutane mkuu 0719810229
  12. jaxonjohnson

    JamiiForums Tanzania Bei ya gunia la mpunga Mbarali

    Ni kweli mkuu au unatania?
  13. jaxonjohnson

    JamiiForums Tanzania Arusha, Ngaramtoni: Nahitaji mpangaji, napangisha nyumba kubwa, ni self ya vyumba vitatu

    Kama nikitaka chumba na sio nyumba nzima unanisaidiaje
  14. jaxonjohnson

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba za NHC Arusha

    Na mimi nahitaji
Back
Top Bottom