Jackson nyamhanga sambai
Senior Member
- Apr 25, 2018
- 101
- 48
- Thread starter
- #21
Bei zinabadilika kila muda mkuu na inategemea na kwalite ya mcheleNimenunua mchele mpanda last week kwa 1kg kwa 900
Bei zinabadilika kila muda mkuu na inategemea na kwalite ya mcheleNimenunua mchele mpanda last week kwa 1kg kwa 900
Yap nmekusomaBei zinabadilika kila muda mkuu na inategemea na kwalite ya mchele
Nakazia hiiiIngependeza kama ungeweka logo inayo endana na bidhaa ama jina la kampuni yako.
Lakini nakushauri ubadilishe hiyo picha hapo, maana ina akisi kitu kngine tofauti kabisa na biashara/bidhaa yako
Aiseee huu naona uko vzr cjui Kama unanukia
Unanukia kabla ya kupika na baada ya kupika mkuu harufi ingekuwa inatumwa ningekutumiaAiseee huu naona uko vzr cjui Kama unanukia
Ukiupika ama before hujapka
Kwan huwez kutuma mkuuUnanukia kabla ya kupika na baada ya kupika mkuu harufi ingekuwa inatumwa ningekutumia
Harufu utanusaje mkuu,au unataka ukinusa simu yako ikinukia mchele use me mambo ya freemanson hayaKwan huwez kutuma mkuu
Harufu utanusaje mkuu,au unataka ukinusa simu yako ikinukia mchele use me mambo ya freemanson hayaKwan huwez kutuma mkuu
Uko seriously na biashara kweliHarufu utanusaje mkuu,au unataka ukinusa simu yako ikinukia mchele use me mambo ya freemanson haya

Nipo Dar naupataje,nimeku dm mkuuNatafuta Wateja wa dar-es-salaam na mwanza niwe nawatumia mchele kutoka Mpanda,kwa bei ya jumla nafuu kabixa,
Namba zangu za simu ni WhatsApp +255789139153
mkuu morp vp unaleta kwanzia kilo ngap mi nataka wakula tu homeNatafuta Wateja wa dar-es-salaam na mwanza niwe nawatumia mchele kutoka Mpanda,kwa bei ya jumla nafuu kabixa,
Namba zangu za simu ni WhatsApp +255789139153
Upo wapi kakamkuu morp vp unaleta kwanzia kilo ngap mi nataka wakula tu home
Upo wapi na unaitaji kilo ngapi,mkuu,nicheki WhatsApp; 0789139153Unatuma kuanzia kilo ngapi mkuu