Recent content by jaxjosh

  1. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

    Kwan wakati wa kupiga kura wanaccm watatengwa na waupinzani? "Think twice "
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ijue maana ya #HapaKaziTu

    Acha kung'ata maneno ,je kwaualisia je mtu ambaye hana ajira nae akubaliene na huo usemi ? Coz tukichukulia kazi kwa wigo mfinyu m2 anaye zurura mitaani naye atasema kafanya kazi ya kuzurura.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nimelipa deni la taifa la 1958

    Duh! Hapa 2shapigwa changa la macho ,kama na mkolon alkopa, awam 3 zote azkufanikiwa kulipa alafu awamu ya 4 ambayo ndo imekuza den mara dufu ,inasema imelipa nihatari .
  4. J

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

    Nadhan na ww pia unaelimu ya kuunga unga badala hiyo elimu itolew kwa manufaa ya vijana wote wa kitanzani aliye na asiye na chama ww eti unafurahia hii ni hatari "watanzania 2naangamia kwa kukosa maarifa"
Back
Top Bottom